Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mahakama ya mafisadi yaanza na "raia waliokamatwa na nyavu bandia za uvuvi"
stuck_out_tongue_closed_eyes.png
Hao ndio mafisadi?, wangesema mahakama ya uhujumu uchumi
 
1972 - Luis Figo anazaliwa.

Ni nyota wa zamani wa Barca, Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno.

Uhamisho wake toka Barca kwenda Real Madrid ulizua gumzo kubwa hali iliyopelekea Mashabiki wa Barcelona kumrushia kichwa cha Nguruwe aliporudi Nou Camp akiwa na Real Madrid.
 
Ulikuwa Mzozo mkubwa sana, hata wakati anatoka camp, alitoka kwa utata sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom