Makapuku Forum

Makapuku Forum

713937e8a5ce8e0489d2290ed19b56c3.jpg

Mpo?
......
Tupo
 
1945 - Gerd Muller anazaliwa.

Ni staa wa zamani wa Bayern Munich na timu ya taifa ya Ujerumani.

Anafahamika kama " The Bomber of the Nation ".

Alitamba sana katika kombe la dunia la mwaka 1974 lililofanyika katika ardhi ya nyumbani na kutwaa ubingwa huo kando ya staa mwenzake Franz Backenbaeur " The kaiser ".
Muller alikuwa kocha wa timu ya Taifa ya ujerumani kwenye fainali za kombe la Dunia 2002
 
1979 - Pablo Aimar anazaliwa.

Staa wa zamani wa River Plate, Valencia, Zaragoza na timu ya taifa ya Argentina.

Wakati anachipukia alitajwa kama Diego Maradona mpya kutokana na uwezo wake mkubwa wa ku-dribble mpira, kumiliki na kutoa pasi zenye macho.

Moja kati ya Wachezaji walioshindwa kufikia matarajio ya vipaji vyao kando ya nyota wengine kama Javier Saviola, Ricardo Quaresma, Joe Cole n.k.
Aima
 
1979 - Pablo Aimar anazaliwa.

Staa wa zamani wa River Plate, Valencia, Zaragoza na timu ya taifa ya Argentina.

Wakati anachipukia alitajwa kama Diego Maradona mpya kutokana na uwezo wake mkubwa wa ku-dribble mpira, kumiliki na kutoa pasi zenye macho.

Moja kati ya Wachezaji walioshindwa kufikia matarajio ya vipaji vyao kando ya nyota wengine kama Javier Saviola, Ricardo Quaresma, Joe Cole n.k.
Na Reqweme
 
Boy : baby mambo, leo unakuja,kama tulivyoongea jana?

Girl : Ndiyo my..

But baby Nikwambie kitu...

Boy : sema mpnz

Girl : Sasa mimi nitakujaje, nywele zipo hovyo sijaosha, wala kuset.. Alafu baby kucha zangu sijasafisha..

Nitumie pesa kidogo Kama 150,000/= hivi niende saloon..

Boy : Poa usijali subiri...

M-PESA : imethibitishwa 155,000/= salio lako jipya la M-PESA ni shilling 155,250/=....

Boy : Umeiona mpnz?

Girl: kimya

Boy : Mmh mbona hujibu?

Girl : Ooh sorry, my nimeiona, nilikuwa namuandalia baba chakula, ndiyo amerudi muda huu toka safari...

Mmh alafu sijui Kama ntaweza kutoka baby coz baba alivyorudi amenisema, juzi nilivyochelewa kurudi home, mama kamwambia kila kitu...

100(customer care Vodacom) : Karibu katika huduma ya watu waliotuma pesa kimakosa kupitia M-PESA...

Boy : Samahani nimetuma shillingi 155,000/= kwenda number xxxxx, naomba mnisaidie kuirudisha tafadhali...

100(customer care Vodacom) : OK subiri ombi lako linashughulikiwa na utarejeshewa kiaskasmaterialbaa masaa 24...

Girl (SMS imeingia toka M-PESA) : Imedhibitishwa kiasi cha shilling 155,000/= kilichotumwa kimakosa kimerudishwa, salio lako jipya la M-PESA ni shilling 250/=
Girl : Sasa baby ndiyo nini hivyo...
Boy. Sio Mimi ni voda ao wamenionea uruma unavyo nichuna.
Girl. Aah baby voda gani wako ivyo
Girl.alafu Baba kalala nakuja nitumie basi
Boy. We njoo ila nishatumie iko buku jelo now
Mimi siyo mtu wa mchezo mchezo ati...

Sipendagi ujinga mimi...!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom