Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Mkubwa kitabu saa nne tayari ...vipi utawasha radio ???Mahakama ya mafisadi yaanza na "raia waliokamatwa na nyavu bandia za uvuvi"
![]()
Mkubwa kitabu saa nne tayari ...vipi utawasha radio ???Mahakama ya mafisadi yaanza na "raia waliokamatwa na nyavu bandia za uvuvi"
![]()
Sisi tuna Usalama wa Taifa ambao ni mbovumbovuKuna;
NSA - Idara ya Usalama wa Taifa.
CIA - Shirika la Ujasusi.
FBI - Shirika la Upelelezi.
Secret Service - Idara ya Ulinzi wa Viongozi wa Taifa la Marekani.
1972 - Luis Figo anazaliwa.
Ni nyota wa zamani wa Barca, Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno.
Uhamisho wake toka Barca kwenda Real Madrid ulizua gumzo kubwa hali iliyopelekea Mashabiki wa Barcelona kumrushia kichwa cha Nguruwe aliporudi Nou Camp akiwa na Real Madrid.
1946 - Laura Bush anazaliwa.
Ni mke wa Rais wa zamani wa Marekani, George Bush.
2008 - Barack Obama anachaguliwa kuwa Rais wa kwanza mweusi katika historia ya Nchi ya Marekani.
1995 - Waziri Mkuu wa Israel Yitzhak Rabin anauwawa nchini humo.
Hiyo ni baada ya kusaini mkataba wa amani na ushirikiano baina ya Israel na Palestina huko Oslo na kushuhudiwa na Rais Bill Clinton mwaka 1993, jambo lililowaudhi Waisrael wengi.
Maskiniiiiiiii!!!Mahakama ya mafisadi yaanza na "raia waliokamatwa na nyavu bandia za uvuvi"
![]()
Senks JJ.View attachment 429122View attachment 429123
Sina la ziada kutoka hapa, Niite Jimena Jimenes
Kwa udhamini mnono kabisa wa sweetpie nasema TGIF
Mzungu alisafiri na Mbongo
kwenye ndege
akamdharau�� sana Mbongo
akauliza ni nchi ipi ilishindwa
akatoa Jero kuashiria hajui.

akakosa jibu akatoa

teh teh teh...Sisi tuna Usalama wa Taifa ambao ni mbovumbovu
![]()
![]()
...
Mzungu alisafiri na Mbongo
kwenye ndege
wakakaa siti moja
Mzunguakamdharau�� sana Mbongo
nakujiona anajua kila kitu duniani!,
Akamwambia Mbongo waulizane maswali
na Mbongo akishindwa anatoa sh.500 na
endapo yeye atashindwa atatoa 100,000/=
Mzunguakauliza ni nchi ipi ilishindwa
kwenye vita kuu ya kwanza ya Dunia?
Mbongoakatoa Jero kuashiria hajui.
Na yeye akamuuliza Mzungu, ni kitu gani
kikienda juu kina miguu minne na kikirudi
chini kina miguu mitatu?��
Mzungu akafikiriaakakosa jibu akatoa
100,000/= kuashiria hajui ila akataka kujua,
akauliza ni nini hicho?
Mbongo akatoa Jero kuashiria hata yeye
hajui!.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mbongo![]()
![]()
![]()
![]()
Mzungu alisafiri na Mbongo
kwenye ndege
wakakaa siti moja
Mzunguakamdharau�� sana Mbongo
nakujiona anajua kila kitu duniani!,
Akamwambia Mbongo waulizane maswali
na Mbongo akishindwa anatoa sh.500 na
endapo yeye atashindwa atatoa 100,000/=
Mzunguakauliza ni nchi ipi ilishindwa
kwenye vita kuu ya kwanza ya Dunia?
Mbongoakatoa Jero kuashiria hajui.
Na yeye akamuuliza Mzungu, ni kitu gani
kikienda juu kina miguu minne na kikirudi
chini kina miguu mitatu?��
Mzungu akafikiriaakakosa jibu akatoa
100,000/= kuashiria hajui ila akataka kujua,
akauliza ni nini hicho?
Mbongo akatoa Jero kuashiria hata yeye
hajui!.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mbongo![]()
![]()
![]()
![]()

Duh miahe zimebanateh teh teh...
Ni kweli mkuu siku hazifanani.Duh miahe zimebana
Wengi wiki hii imebana
...........