Happy Birthday Figo1972 - Luis Figo anazaliwa.
Ni nyota wa zamani wa Barca, Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno.
Uhamisho wake toka Barca kwenda Real Madrid ulizua gumzo kubwa hali iliyopelekea Mashabiki wa Barcelona kumrushia kichwa cha Nguruwe aliporudi Nou Camp akiwa na Real Madrid.
Asante kwa historia mwenyekititeh teh teh...
Cha muhimu tutafute helaNi kweli mkuu siku hazifanani.
Mambo niajeeeNambie shululu
Chicago, ilikuwa usiku sana watu wanashangilia ushindi wa Obama
Ngoja wakusikieSisi tuna Usalama wa Taifa ambao ni mbovumbovu
![]()
![]()
![]()
...
Asanteeeee