HBD Dona1960 - Diego Armando Maradona anazaliwa.
Mwanasoka wa zamani wa Napoli, Barcelona na timu ya taifa ya Argentina.
Anatajwa kama mchezaji bora wa karne ya 20.
Ametwaa kombe la dunia mwaka 1986 pale Mexico akiwa kama nahodha.
Ana heshima kubwa sana ndani ya Jiji la Naples alipochezea Napoli na ndio mji ambao alijifunza madawa ya kulevya.

Pouwa kabisa, habari mkuuMakapuku wenzangu j2 imekaajeee??
Nawasalimu sana watu wangu wa nguvu kwema hukuu
eti ukiona hivyo ni Eden kakuleta
Gori-GoliBila kusahau ndiye mtu maarufu wa kufunga gori la mkono

13/11 why???Remembrance Week yaanza.
Waingereza waanza kuwakumbuka mashujaa wao waliofariki vitani.
Kilele cha maadhimisho hayo ni tarehe 13 November.
Katika kipindi hiko Waingereza huvaa maua mekundu iwe kwenye suti au nguo yoyote ile ikiwemo hata jezi kwa wachezaji.

WoyoooOyoooooooooooooooo
HaaaahaaaaBongo muvi bhana eti jambazi kamnyoshea mtu Bastola afu anamwambia ..... NITAKUCHINJAAAA..
```Nimezima Tv ..nime0na ningie JF```![]()
Kidogo nami nimuulize kama ni MganeRIP mke wa Musso.. Mkuu baada ya hapo ulioa tena? Oooopss!!! kumbe we ni Musso wa bongo![]()

Hujagonga yale mambo yako???
kwa kawaida huadhimishwa November 11 au Jumapili ya pili ya November ambapo mwaka huu itaangukia 13 Nov13/11 why???![]()
![]()
![]()
Dah kwa hiyo mkuu hata uki-import malighafi geto wikend hii ashki haiji?kweli we die hard fan aisee..
BwahahahahahaaaaaaaaBila shaka kuwalamba chenga mabeki 6 wa Uingereza na kufunga goli bora la karneBila kusahau ndiye mtu maarufu wa kufunga gori la mkono

Aisee huyu Yeezus au HR 666 mbona natumia avatar yangu?
Naona leo naelekea kupata ban kama mods hawatalishughulikia hili https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/18280092
![]()
![]()
![]()
![]()

tatizo ni nini mzee??Aisee huyu Yeezus au HR 666 mbona natumia avatar yangu?
Naona leo naelekea kupata ban kama mods hawatalishughulikia hili https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/18280092
![]()
![]()
![]()
![]()
Msusie avatarAisee huyu Yeezus au HR 666 mbona natumia avatar yangu?
Naona leo naelekea kupata ban kama mods hawatalishughulikia hili https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/18280092
![]()
![]()
![]()
![]()
Nitakuua, mimi siyo mtu wa mchezo mchezo arifutatizo ni nini mzee??