Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,372
- 12,479
Imekaa kitakoMakapuku wenzangu j2 imekaajeee??
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Imekaa kitakoMakapuku wenzangu j2 imekaajeee??
Ulivyopost ile picha nikajua umeichukulia chumbani kwa makaveli10 mana nadhani itakuwepo kwenye album ya familia yao... Utakua umenielewa sasaUsukani!!!??? ! Sijaelewa elewa..
Umekosa pa kufungulia lock???Imekaa kitako
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Nilikuwa napita na Range Rover yangu Papaa naelekea TsabatsaKulikoni tena papaa ama ndo umeanza biashara ya mitumba hapo?
Kwani wajawazito wanaruhusiwa???[emoji3]Tatizo hao wazuri akina swetiepie hawaendi kugombea
Weka pichaNilikuwa napita na Range Rover yangu Papaa naelekea Tsabatsa
Weka picha..Nilikuwa napita na Range Rover yangu Papaa naelekea Tsabatsa
Haha umejuaje?Kwani wajawazito wanaruhusiwa???[emoji3]
Hahaha... Nimekuelewa lakini sijaitoa huko.. Alinipatia sweetipaiUlivyopost ile picha nikajua umeichukulia chumbani kwa makaveli10 mana nadhani itakuwepo kwenye album ya familia yao... Utakua umenielewa sasa
Kwanini kamanda??Umekosa pa kufungulia lock???
Najiuliza kamanda kama umekosa pa kufungulia lock tutafutane ..Kwanini kamanda??
Mwenye kujua aniambieNenda Ofisi ya Serikali ya Mtaa ukaulizie ndo wanajua
.......
Tuambizanee...kunanii ukooo[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]Hawa Mbao wametumwa
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.....
Lock gani kamandaNajiuliza kamanda kama umekosa pa kufungulia lock tutafutane ..
Acha ubishiMwenye kujua aniambie
Range [emoji85][emoji85]Picha ya???
samahani mkuu, nimekuelewaAcha ubishi
Mi mwenyewe Serikali ya Mtaa wamewahi kunielekeza ofisi ya mbunge jimbo la Ubungo
Hao ndo wanaoelewa
Basi nenda kaanzishe thread
.....