Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
KAPUKU'S SPECIAL EDITION: BEST OF NEW KIDS ON THE BLOCK
Hapa wamekuwa wababa sasa.
2 in the morning.....
Summertime
Single ft Neyo
Hapa bado watoto wadogo. (Good Old Timez)
Mwanagalie Jordan mzee wa Swagger alikuwa mdogo balaa.
Step by step
I'll be loving you forever
Sweetiepie , Jimena , briz , shululu , Mussolin5 , Bitoz , jonax , werrason
Umenikosha sana Cobblepots asante aisee jamaa wamekuwa wababa siku hizi!! kuna kale kawimbo kao ka Please do go girl....aaah walikuwa wadogo sanaa.
Sorry Bitoz nimeiquote hii.

siku zote nabii hakubaliki kwao, basi ukinikita kona zangu jinsi nnavyotishia na kiwapiga mikwara member ni hatari.