Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Basi wameshaharibu ladhaLimechakachuliwa siku hizi km gazeti la KIU tu
Linaandika udaku
......
Sani ilikuwa tamu sana enzi hizo
Basi wameshaharibu ladhaLimechakachuliwa siku hizi km gazeti la KIU tu
Linaandika udaku
......
Huenda wanalazimika kubadilika ili kuendana na sokoSANI lilikuwa na waandishi wabunifu sana. Nilikuwa nategemea litakuwa gazeti kubwa baadae.
Nakumbuka Zena na Betina, kifimbo cheza, madenge, ndumilakuwili na kipepe nilikuwa siwakosi.
Bila kumsahau Mzee kifimbo chezaBorn Town v Bush Star
Kila siku lazima DK za majeruhi lifungwe goli
Kila siku lazima Mapungo ang'are
Red card karibu kila mechi
Bush Star hupasha porini hukalia moto,huchemshwa kwenye vyungu ,kupiga msamba juu ya mawe n.k
Duh kitambo sana
.....
KAPUKU'S SPECIAL EDITION: BEST OF NEW KIDS ON THE BLOCK
Hapa wamekuwa wababa sasa.
2 in the morning.....
Summertime
Single ft Neyo
Hapa bado watoto wadogo. (Good Old Timez)
Mwanagalie Jordan mzee wa Swagger alikuwa mdogo balaa.
Step by step
I'll be loving you forever
Sweetiepie , Jimena , briz , shululu , Mussolin5 , Bitoz , jonax , werrason
Mambo ShululuNi ngumu sana kukuuzia
Ankali weekend wapi mbona hatupeani code??Kama kikofia![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
AsanteGuys, Goodnight
Nipo msibani kunduchiAnkali weekend wapi mbona hatupeani code??
Poa, vp nsekwa unapotea sanaMambo Shululu
Poleni sana kwa msibaNipo msibani kunduchi
Kweli kabisa napotea kazi zinabana sana. Kwa sasa niko nje ya nchi bara la Ulaya ndio maana nakosa hata kushiriki kwa kasi.Poa, vp nsekwa unapotea sana
Huenda wanalazimika kubadilika ili kuendana na soko
Pole sana kwa msibaNipo msibani kunduchi
Asante BaillyPole sana kwa msiba
Kweli kabisa napotea kazi zinabana sana. Kwa sasa niko nje ya nchi bara la Ulaya ndio maana nakosa hata kushiriki kwa kasi.
Pole kwa msiba

Asante sana Ankali JJPoleni sana kwa msiba
Morning, hulalagi weweMorning all kapuku
Nalalaga, Sasa ni saa ngapiMorning, hulalagi wewe