Asante sana kwa magazeti ya leo AnkaliView attachment 425945View attachment 425946
Kwa udhamini mnono kabisa wa Mwadui shinyanga sina la zaidi
Naitwa Jimena Jimenes
Nawatakia sabato njema kwa wale wanaoitukuza na week end njema kwa sisi tusiofungamana na upande wowote
Kwaherini
U hali gani bibie? Nakumis mpaka naumwa yani..View attachment 425945View attachment 425946
Kwa udhamini mnono kabisa wa Mwadui shinyanga sina la zaidi
Naitwa Jimena Jimenes
Nawatakia sabato njema kwa wale wanaoitukuza na week end njema kwa sisi tusiofungamana na upande wowote
Kwaherini
Aiseeee yani sio kwa kuadimika hukuHabari zenu humu ndani? nawasalimu kwa jina la briz![]()
Ni salama u salmini. Miss you more my dearU hali gani bibie? Nakumis mpaka naumwa yani..
Majukumu wangu, afu nimekuta post kama 3000 hivi nikapiga sambasoti moja ndefu nikaibukia hapaAiseeee yani sio kwa kuadimika huku
kama afanyavyo werrason 

Asante Asante, za kupotea mkuu briz, au wanyaki wamefanya yaoHabari zenu humu ndani? nawasalimu kwa jina la briz![]()
Naskia bombadia zishaanza safari zake inabidi tufanye mpango uibukie pande hizi au unasemaje?Ni salama u salmini. Miss you more my dear
Hahaha kule nlishaondoka mkuu nipo mufindi huku ndanindaniAsante Asante, za kupotea mkuu briz, au wanyaki wamefanya yao
Sasa hapo fanya mchakato wa round tiketi nije, manake umekuwa mbali muda mrefu sanaNaskia bombadia zishaanza safari zake inabidi tufanye mpango uibukie pande hizi au unasemaje?
Huk mko gudMajukumu wangu, afu nimekuta post kama 3000 hivi nikapiga sambasoti moja ndefu nikaibukia hapakama afanyavyo werrason
![]()
ahsante..View attachment 425945View attachment 425946
Kwa udhamini mnono kabisa wa Mwadui shinyanga sina la zaidi
Naitwa Jimena Jimenes
Nawatakia sabato njema kwa wale wanaoitukuza na week end njema kwa sisi tusiofungamana na upande wowote
Kwaherini
Fresh habar yakoHabari zenu humu ndani? nawasalimu kwa jina la briz![]()
Hapo ni lazima kwakweli. Maana ungeweza kutumia siku 3 hadi kumalizaMajukumu wangu, afu nimekuta post kama 3000 hivi nikapiga sambasoti moja ndefu nikaibukia hapakama afanyavyo werrason
![]()
Mwalim wangu upo jamanHapo ni lazima kwakweli. Maana ungeweza kutumia siku 3 hadi kumaliza
Mwalimu wako sio mimiMwalim wangu upo jaman
Shukrani Mkushiahsante..
Siku njema
Da! Nimemic sn jamanMwalimu wako sio mimi
Yeye hajaonekana muda sana hapa mi nilidhani mnafundishana nyumbani