Makapuku Forum

Makapuku Forum

1477284832250.jpg
1477284842721.jpg
1477284849949.jpg

Kwa udhamini mnono kabisa wa 4 - 0 ndio nimefikia mwisho kabisa wa segment hii,
Naitwa Jimena Jimenes nawatakia week njema yenye mafanikio
Peace and Love
 
1903 - Melvis Pulvis anazaliwa.

Alikuwa ni FBI mashuhuri ambaye alisifika sana kwa kupambana na wahalifu wakorofi katika miaka ya 1930's. Wahalifu hao ni kama akina John Dillinger na wengineo.

Aliacha kazi katika mazingira ya kutatanisha kabla hajafa kifo cha utata.
Kifo cha utata ni lazima, kwa mazingira hayo
 
Back
Top Bottom