Makapuku Forum

Makapuku Forum

Jiko lenyewe la kuni.. Linapikiwa hadi wali wa shughulin[emoji57] [emoji57]
Kishkwambi wa Bitoz huyo hapo
1477052219074.jpg
 
Sina kawaida ya kuumwaumwa ndio maana kitambulisho sojakiona
Mara ya mwisho kwenda hospito ni mwk jana nilipata kaajali nilikichoma msumari hivyo tetenus ilihusika
.........
[emoji23] maigizo ya rambi rambi yamepamba moto

Bitoz katoa 550000
Shululu katoa 700000
Makaveli katoa 420000

[emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Upuuzi tu ule
Angesubiri wazike ndo aseme alifiwa
Keshaharibu maama huko msibani watamtafuta na wapenda sifa watapost hadi picha za maiti/kaburi
Naona akufikiria now huko Ilomba kila mtu ataijua Id yake
Mimi pia hapo Ilomba kuna ndugu zangu nahisi pia wapo humuhumu Jf

Kwanza mimi msibani huwa siandiki jina langu halisi kwenye rambirambi naweza andika tu feki mfano KIAZI MVIRINGO inatosha

.............
 
Upuuzi tu ule
Angesubiri wazike ndo aseme alifiwa
Keshaharibu maama huko msibani watamtaduta na wapenda sifa watapost hadi picha za maiti/kaburi
Naona akufikiria now huko Ilomba kila mtu ataijua Id yake
Mimi pia hapo Ilomba kuna ndugu zangu nahisi pia wapo humuhumu Jf

Kwanza mimi msibani huwa siandiki jina langu halisi kwenye rambirambi naweza andika tu feki mfano KIAZI MVIRINGO inatosha

.............
[emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom