Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji41] Bitoz sasa hivi amepata jiko, kasoro mimi tu.
Najifariji kwa kujiita hip hop(gangster) ili nifiche mapungufu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] naona unazitunza eeh. Katika zile couples ambazo umeziona humu iliyodumu mpaka sasa ni mimi na lizziebettie ingawa humu humuoni sana.

Bisha sasa
 
Leo katika Historia:

1945 - Wanawake nchini Ufaransa waruhusiwa kupiga kura kwa mara ya kwanza.
upload_2016-10-21_10-13-17.jpeg
upload_2016-10-21_10-13-54.jpeg
 
1967 - Paul Ince anazaliwa.

Ni mchezaji wa zamani wa Man Utd na Liverpool.

Alikuwa ni kiungo wa shoka sana katika enzi zake.

Aliuzwa na kocha wa Man Utd, Sir Alex Ferguson baada ya kuwaambia wachezaji chipukizi akina Giggs na Scholes wamwite yeye Gavana.
 
1981 - Nemanja Vidic anazaliwa.

Ni beki wa zamani wa Man Utd, Inter Milan na timu ya taifa ya Serbia.

Alisifika kwa kucheza kwa jihadi bila woga.

Anakumbukwa Man Utd kama kepteni na kwa kutengeneza kombinesheni matata na Rio Ferdinand.

Alitwaa mataji matano ya Epl, na moja la Ligi ya mabingwa mwaka 2008 pale Moscow.
 
Back
Top Bottom