Makapuku Forum

Makapuku Forum

Upuuzi tu ule
Angesubiri wazike ndo aseme alifiwa
Keshaharibu maama huko msibani watamtafuta na wapenda sifa watapost hadi picha za maiti/kaburi
Naona akufikiria now huko Ilomba kila mtu ataijua Id yake
Mimi pia hapo Ilomba kuna ndugu zangu nahisi pia wapo humuhumu Jf

Kwanza mimi msibani huwa siandiki jina langu halisi kwenye rambirambi naweza andika tu feki mfano KIAZI MVIRINGO inatosha

.............
Kwanza inakatisha watu moyo wa kuchangia.
Mfano mimi nilikuwa nataka kutoa buku mbili, ila nilivyoona wenzangu wametoa elfu 60000 nikaingia mitini[emoji125] [emoji125]
 
Ndo maana nimesema angesubiri azike kwanza kisha angeleta thread kwamba alifiwa na ambaye angejisikia basi angemtumia DIRECT bila kelele/mbwembwe na ambacho angepata ingebaki kuwa siri yake pia hakuna ambaye angwmjua" yy ni nani" mfano mimi wapo wanaonijua nje ya JF lakini ndugu wa damu anayenijua ni mmoja sababu tunajuana kishikaji na tunasaidiana hivyo tunajuana na kuaminiana

Usishangae huyo mnyaki mwenzangu hakufikiria.....nilifiwa nikiwa chuo lakini sikutangaza niliomba ruhusa tu na sikuchangiwa hata jero maana rambirambi haikuondolei uchungu wa kufiwa
.........
 
images
 
Ndo maana nimesema angesubiri azike kwanza kisha angeleta thread kwamba alifiwa na ambaye angejisikia basi angemtumia DIRECT bila kelele/mbwembwe na ambacho angepata ingebaki kuwa siri yake pia hakuna ambaye angwmjua" yy ni nani" mfano mimi wapo wanaonijua nje ya JF lakini ndugu wa damu anayenijua ni moja

Usishangae huyo mnyaki mwenzangu hakufikiria.....nilifiwa nikiwa chuo lakini sikutangaza niliomba ruhusa tu na sikuchangiwa hata jero maana rambirambi haikuondolei uchungu wa kufiwa
.........
Ni kweli..
JF ukishafahamika tu, unakuwa hauko huru tena
Eg. Mm nligundua Id ya ma mdogo wangu na jinsi anavyopost Jf utumbo basi ikawa kero kwangu ila mwisho wa siku nilibidi nibasilishe password zake ili ashindwe kuingia then afungue mpya.
Sometime nilikuwa namchokoza Pm(kwa sababu hanijui) basi alikuwa yuko slope sana..
Kilichofuata ni kuzngua tu account yake
 
Juzi nimekamatwa na Braza,ameona ID yangu akashangaa na hakuamini kuwa The Book ndo mimi.

basi nikawa sina cha kusema na kubadili ID siwezi.

nimepunguza kuandika utumbo,namvizia nione na yeye anatumia ID gani.
kiukweli JF ni sehemu ya ajabu sana.
 
Wala usihitaji hata kumchunguza kabisa maana hautakuwa huru na heshima itashuka
 
Ni kweli..
JF ukishafahamika tu, unakuwa hauko huru tena
Eg. Mm nligundua Id ya ma mdogo wangu na jinsi anavyopost Jf utumbo basi ikawa kero kwangu ila mwisho wa siku nilibidi nibasilishe password zake ili ashindwe kuingia then afungue mpya.
Sometime nilikuwa namchokoza Pm(kwa sababu hanijui) basi alikuwa yuko slope sana..
Kilichofuata ni kuzngua tu account yake
Mimi ananijua braza sababu alinionesha ID yake na sikuona sababu ya kumficha coz tumeishi chumba kimoja halafu yy mtu poa tu na Jf hapostpost pia kbuka mimi Jf nipo kiroho safi situkanagi watu thread zangu nyingi ni za swaga,utani na kibirudani tu...huwa nazingua wakongwe tu lakini siyo kwa matusi hivyo sikuona noma kumuonyesha
Ningekuwa nashinda humu kutukana watu,kulumbana,kupost utumbo km HR 666 ningeona AIBU KUMTAJIA
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
...........
 
aisee nikikuta jina la ajabu humu JF ndo lake nitachekaa sana.
Unaweza ukamzungua mtu kumbe ana umri sawa na babu yako.
Pengine unaweza ukazinguana na Mo dewji bila hata kumfaham.
Unaweza ukazinguana na rais, waziri bila hata kuwajua

JF imeleta usawa
Mimi ananijua braza sababu alinionesha ID yake na sikuona sababu ya kumficha coz tumeishi chumba kimoja halafu yy mtu poa tu na Jf hapostpost pia kbuka mimi Jf nipo kiroho safi situkanagi watu thread zangu nyingi ni za swaga,utani na kibirudani tu...huwa nazingua wakongwe tu lakini siyo kwa matusi hivyo sikuona noma kumuonyesha
Ningekuwa nashinda humu kutukana watu,kulumbana,kupost utumbo km HR 666 ningeona AIBU KUMTAJIA
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
...........
 
Juzi nimekamatwa na Braza,ameona ID yangu akashangaa na hakuamini kuwa The Book ndo mimi.

basi nikawa sina cha kusema na kubadili ID siwezi.

nimepunguza kuandika utumbo,namvizia nione na yeye anatumia ID gani.
kiukweli JF ni sehemu ya ajabu sana.
Ukimchunguza halafu ukute ndo rayyoung kazi unayo
Wapost utumbo ndo wanaona aibu kufahamiana hata # za simu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.........
 
Back
Top Bottom