Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,735
- 26,079
Jibu ni kuwa ana UKOSEFU WA KINGA MWILINI ndo mana anaandamwa na magonjwa nyemeleziHahahahahaha kwamba kinga yake ya mwili imepungua???
Mi nadhani hajapata tiba muafaka!
Jibu ni kuwa ana UKOSEFU WA KINGA MWILINI ndo mana anaandamwa na magonjwa nyemeleziHahahahahaha kwamba kinga yake ya mwili imepungua???
Mi nadhani hajapata tiba muafaka!
Ile gia aliyoingia nayo ni balaaa[emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31]
John Terry alilia sana.Boko la Terry likasaidia man kubeba ndoo
Aiseee...Hiyo tupo tunaishi bukoba Enzi hizo mpakani kabisa, hofu ilitawala sana
poa poa mgonjwa.
Amen.Asante sana bepari
Ijumaa Karim
Kama mimi sijaumwa tangu 2009 nilivyoumwa tetekuwanga.Usikariri
Kuna watu hawaumwi. Mnaishi nyumba moja na mnakula chakula kimoja ila we unaumwa hadi mara 10 ye hajaumwa hata ukucha
Kwema kabisa MukongoKwema humu ndani??? [emoji111]
Kwema kabisa mutu ya kongoKwema humu ndani??? [emoji111]
Kwema kabisa Mukongo
[emoji111] baadae jamani [emoji124] [emoji124] [emoji124]Kwema kabisa mutu ya kongo
Poa poa[emoji111] baadae jamani [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Safari njema[emoji111] baadae jamani [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Yatawakuda km waliomdiss Edo Liwazapoa poa mgonjwa.
Gonjwa la wachawiKama mimi sijaumwa tangu 2009 nilivyoumwa tetekuwanga.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Una gonorrhea sugu, fanya utibiwe immediately ili ika-form saratani
Poa jirani, vp weweInakuwaje ndugu zangu..!?
Hongera122k
Mimi mara ya mwisho kuumwa ilikiwa ni 2004Kama mimi sijaumwa tangu 2009 nilivyoumwa tetekuwanga.