Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,735
- 26,079
[emoji35] Alafu aliingia na gia ya kichawi chawiIlikuwa inanikera mnoo
Ila baada ya kutambua kuwa wako karibu na mirembe, basi nmeshamzoea
[emoji35] Alafu aliingia na gia ya kichawi chawiIlikuwa inanikera mnoo
Hahahahah yupo mbona nachati nae hapa [emoji12] [emoji12] [emoji12]We Th name yule demu wako uliyekuwa unaturingishia hapa Kf kipindi kile yuko wapi?
Kwani hiyo ndo sababu iliyokufanya usionekane juzi kati?Ila jamani kipindi application inanigomea na kudai nakosea password ndio nilijua umuhimu wa kuwa na ID mbili
Yani nilikuwa naimiss mno JF
Mi nna mashakaHahahahah yupo mbona nachati nae hapa [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mashaka ya nini tena Dada yangu?Mi nna mashaka
Maana ulituringishia sana..Hahahahah yupo mbona nachati nae hapa [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ilikuwa inakataa kabisa na kudai nakosea passwordKwani hiyo ndo sababu iliyokufanya usionekane juzi kati?
Ukimya wa mwendo kasiMashaka ya nini tena Dada yangu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani mimi nilikwambia uwe singo au?Maana ulituringishia sana..
[emoji12] Binafsi ulikuwaunamikwaza, sasa sisi tunazungumzia soka ww unapiga soga za kimapenzi na demu wako
Hahahahahaha we nae hebu acha upuuziMaana ulituringishia sana..
[emoji12] Binafsi ulikuwaunamikwaza, sasa sisi tunazungumzia soka ww unapiga soga za kimapenzi na demu wako
Yupo wifi Sema ubize kidogo. Ila nitamwambia aje kuwasalimu aisee maana kitambo sanaUkimya wa mwendo kasi
Umuhimu wa multiple Id's unahitajika hapa Jf.Ilikuwa inakataa kabisa na kudai nakosea password
Badae ikakubali ila post hazifunguki inazunguka tuuu
[emoji2] alafu alikuwa Ananidiss sana, mara aseme mm sina kisu kikal, domo zege.Hahahahahaha we nae hebu acha upuuzi
mmhIlikuwa inanikera mnoo