Makapuku Forum

Makapuku Forum

Unaweza ukamzungua mtu kumbe ana umri sawa na babu yako.
Pengine unaweza ukazinguana na Mo dewji bila hata kumfaham.
Unaweza ukazinguana na rais, waziri bila hata kuwajua

JF imeleta usawa
Pia mtu wako wa karibu anaweza kuijua ID maana kuna muda mtu unajisahau zen anakaa kimya anakuchora na kuja kuzingua post zako
Km unatukana na kupost utumbo Jf huwezi kuwa na amani na simu yako
......
 
Hii ni kwel kabisa
Eg. Mm fiance wangu alikiwa anaona kila akifungua pc yangu anakuta niko JF tu, ikabidi aniuloze huu ni mtandao gani, basi nikamwambia na nkamfungulia na yeye account humu.
Na huwa anakujaga hapa Kf, lakini bado hajanitambua[emoji23]
Ila kuanzia siku hiyo nkaacha kutumia pc kuingia Jf kabisa, sasa hv natumia cm niliyoigonga na password ya hatari
 
anaitwa nani huku??
 
Simu yangu sijawahi kuweka password kwangu usumbufu tu
Huwa sipost wala kuhifadhi uchafu
Nikichat na mtu mfano WhatsApp huwa nafuta nikitaka kuiacha simu mahali au sehemu ambayo simuamini mtu NALOG OFF kwanza Jf hata nikiwa na kademu kangu nafanya hivyo
............
 
utakuwa una michepuko huko whatsapp.

ngoja ni mwambie shemeji.
 
Simu yangu sijawahi kuweka password kwangu usumbufu tu
Huwa sipost wala kuhifadhi uchafu
Nikichat na mtu mfano WhatsApp huwa nafuta nikitaka kuiacha simu mahali au sehemu ambayo simuamini mtu NALOG OFF kwanza Jf hata nikiwa na kademu kangu nafanya hivyo
............
Mm password lazima ilikuipa ulinzi simu yangu.
Ila kama fiance wangu nikiona anakuwa haniamini basi huwa ampaga simu yangu akae nayo hata mwezi mzima ila huku tayari nmesha-delete Apps zangu za muhimu
 
Umemchongea jamaa kapigwa ban
Angalia avatar

Baadaye basi
................
mask.png
 
Mm password lazima ilikuipa ulinzi simu yangu.
Ila kama fiance wangu nikiona anakuwa haniamini basi huwa ampaga simu yangu akae nayo hata mwezi mzima ila huku tayari nmesha-delete Apps zangu za muhimu
Kweli aisee bora hivyo
Password ni kujitesa

Baadaye basi
..................
 
Back
Top Bottom