Makapuku Forum

Mkuu ibra87 nimepitia comment mbili tatu, mfano ipo inayodai kuwa no likes, no reply, sasa mkubwa hivi vitu navyo Ni vya ku-complain? Au nini msingi wa malalamiko pengine sijaelewa maudhui. Nifahamishe mkuu.
mkuu katika watu ambao sina shaka na Comment, Likes na Reply ni mimi.. Kwa kuwa thread ninazoandikaga huwa napata ushirikiano kwa baadhi Ya watu tena kwa kiwango cha juu.

Tunachozungumzia na Kulalamikia Hapa ni Dharau zinazoletwa na Wakongwe (Hasa MMU na hapa) wengi wanaongoza kwa kuandika mabandiko yasio na viwango na hata mnapojaribu kubishana kwa hoja Utasikia "WEWE UMEJIUNGA JUZI HAPA JF, UTANIAMBIA NINI" Ni ipi tofauti kati ya wakongwe na wageni?
 
Utoto uliotukuka.
 
Mawazo mgando ambayo mara nyingi huwa nayo akina dada
 
kama unajua haki yako ipo wewe unachotakiwa ni kupambana hadi uipate ... usiangalie nyuma kama una uwezo kabiliana pale unapoweza kwa maslahi ya walioko nyuma yako ......
Haki haiombwi bali inatafutwa . ... daima fanya kile unachokiona kipo sahihi kwa maslahi yawaliopo nyuma yako ..
 
Kweli kabisa. Kuna huyu dogo anajiita Bitoz ...... huyu nasikia kanichukulia vimwana vyangu viwili sababu ya ubitoz wake. Naongea na Max ampige permanent ban ili liwe funisho kwa vijana wenzie walafi wa Kei.
Huyo ni mnuka mkojo wala asikuumize kichwa.
 
Pamoja sana mkuu sumbai.
 
Tuko pamoja sana na unadhani kuna kitu wanajua basi..Ni umuch know tu usio na maana..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…