Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
Tuletee nondo
Tumechoka vichekesho na emoji
.....
subiri usiku/jioniTuletee nondo
Tumechoka vichekesho na emoji
.....
Mkuu nimeambiwa hiyo SHULE YA MSINGI PENZI sifa kubwa ya shule ile ni walimu wa pale kuoana, wengi wao wameoana pale ziko pair kadhaa za ndoa za walimu shuleni hapo walioania hapo shuleni.Tuletee nondo
Tumechoka vichekesho na emoji
.....
Aisee pengine ni kweli. Napenda huyu mzee jinsi anavyosimulia kipindi cha "Through the Wormhole with Morgan Freeman". Ni kipindi kinachofikirisha sana.
Haki ya nani Uswazi kuna raha zake dadadeki!
[emoji41] kuna tatizo kwani?Mzee wa puli punguza ukorofi
....
Toto wakaze waache uzembe
Mnakuta na Azam lini?
Msuva keshatupia penatiMnakuta na Azam lini?
Game yao SAA 1 USIKUna azam je
Jitahidini kushinda ili tusiwaache mbali(simba) na ikawa aibuMsuva keshatupia penati
Toro[emoji778]
Yanga[emoji638]
.....
IliUkirudi tz umletee makaveli10 vumbi la congo
Jasiri haachi asiliGame yao SAA 1 USIKU
Ratiba si niliqeka
Au wavivu kusoma
....
Hii nayo ilijengwa na watumwaa[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kumbe! !!! Nilikuwa sijuagii ..uko vizuri bráza1968 - David " ZIGGY " Nesta Marley anazaliwa.
Ni mtoto wa Mwanamuziki wa zamani wa Jamaica, Robert Nesta Marley. ( Bob Marley )
Hahaha bwana Bitoz unatuwakilishia kwa picha tu...
Hahaha bwana Bitoz hutaki utani kabisaa[emoji4] [emoji4] [emoji4]