Pole Sana Mkuu, Hao Makupuku Wengi Wao Ni Wanuka Mkojo ( Watoto )Wageni wamekuja na lugha za matusi ambazo hazivumiliki! Mtu anadiriki kutukana wazazi wa mwenzake kana kwamba hao wazazi wanachangia mada kwenye JF! ( Mimi yamenikuta kutukaniwa wazazi wangu ambao wapo mbele ya haki! Iliniuma sana!) Suluhisho, Bw. Mello aanzishe forum nyingine kwa hawa Makapuku na wale wa zamani warudishiwe Jambo Forums yao!
jiongeze maana sie wengine ni wakongwe kulikoni hata wewe japo hatuwezi kuandika ujinga kama wewe ...Wapigwe tu ban maana hamna namna!
bora kapuku anayenuka mkojo kuliko mkubwa anayenuka mdomo ...Pole Sana Mkuu, Hao Makupuku Wengi Wao Ni Wanuka Mkojo ( Watoto )
Mkuu umeona wapi mlinzi wa getini akawa busy?
Hilo suala la kufanya kazi ni la mtu binafsi, si kila mkulima anashika jembe analima!, wengine wanatumia pesa zao kulimisha wengine.
Mimi TAMKO LANGU NI KWAMBA MSIWAJIBU NDO WATAUMIAAisee wale jamaa wanaongea shudu kinoma
haha hadi wewe mkuu ...
Sawa mkuu,nilikuwa nimeanza kujibu mapigo lakini nimeona tukaushe tu kwasababu tukianza kujibizanaa tutawapa nguvu.
Wengi huwa wana ID mbili mbili humu, wakipigwa BAN huwa wanafukua hizi ID zao.
Mara nyingi huwa wanajisahau kwenye kukoment wanakocoment kama wako na ID zao za zamani, ukiwastukia wanafuta comment fasta
Hata mimi nilisota sana humu, kama miaka miwili hivi ya mwanzoni, nilikuwa kapuku kweli kweli, naweza kuanzisha sredi ya maana isichangiwe kabisa.haha hadi wewe mkuu ...
Nilikuwa sijui hilo! Kazi wanayoWengi huwa wana ID mbili mbili humu, wakipigwa BAN huwa wanafukua hizi ID zao.
Mara nyingi huwa wanajisahau kwenye kukoment wanakocoment kama wako na ID zao za zamani, ukiwastukia wanafuta comment fasta
hata wewe ni mnuka mkojo kwa kuwa unachoandika kwa Id's Zako Zote ni Upuuzi. Mnaandika Ujinga Harafu mnabebwa na Mods kisha mnajiita Wakongwe? Hakuna maana ya kuifikisha mbali jf ikiwa kuna wajinga kama wewe msiotambua Umuhimu wa JfPole Sana Mkuu, Hao Makupuku Wengi Wao Ni Wanuka Mkojo ( Watoto )
POINTSMimi TAMKO LANGU NI KWAMBA MSIWAJIBU NDO WATAUMIA
Wanataka kupunguza spidi ya huu Uzi
........
Mkuu huu Uzi wako umefanya nitafute hiyo thread ya makapuku forum!Habari za Jumamosi wanaukumbi...
Ile kauli ya matabaka hayaepukiki katika jamii imejidhihirisha ndani ya JF baada ya kuibuka kwa members wanaojiita " Makapuku " ambao wengi wao ni members wapya wakilalamika kutopatiwa ushirikiano na members ambao ni wakongwe.
Makapuku wameenda mbali zaidi na kufungua thread yao wakiita Makapuku forum kama sijakosea ikiongozwa na Bitoz Th Name na wengineo, je hii nini maana yake ndani ya JF? Ni kweli ndani ya JF kuna utabaka kati ya wakongwe na members wapya?
Kila kitu kina mwanzo na mwisho.Hata mimi nilisota sana humu, kama miaka miwili hivi ya mwanzoni, nilikuwa kapuku kweli kweli, naweza kuanzisha sredi ya maana isichangiwe kabisa.
Akiikopi mwenzio akaipost vile vile watu wanachangia kibao.
Kilichoniokoa nilikuwa nashinda sana jukwaa la ujasiriamali enzi hizo, hali ilikuja kugeuka polepole sana mkuu.
Ila wakongwe wa kuanzia miaka ya 2006 mpaka 2010, wengi wabaguzi sana.
mkuu achana nao hawa wajinga.. Wanachotaka ni Kupambana na Kupata watu katika kupambana nasi..bora kapuku anayenuka mkojo kuliko mkubwa anayenuka mdomo ...
mkuu kuna bloggers pia kazi yao ni kushinda kwenye mitandao kutafuta habari na kuhabarisha jamii .. hivyo kama wewe ni mkulima utashangaa ni kwa nini kuna watu wapo humu 24/7Kuna wanao kesha yani kutwa nzima wako jamii forums 24/7. Ivi kazi au shughuli zao wanafanyaga saa ngap ??
Cz binafsi si kila wakati nipo humu unless ni notification ya kitu muhimu nafatilia. Si hukumu mtu though.
kuna mwingine anajiita "k 4 real" aka "lukelo sakafu".tatizo hao makapuku wanakuja na thread za kipumbavu,kuna huyu kapuku anaitwa puppa thread,comments zake ni za ovyo
Nyie Ndio Mnaopelekwa Mahakamani Kwa Makosa Ya Mtandao, Mimi Nina ID Moja Tu Ambayo Ni Hiihata wewe ni mnuka mkojo kwa kuwa unachoandika kwa Id's Zako Zote ni Upuuzi. Mnaandika Ujinga Harafu mnabebwa na Mods kisha mnajiita Wakongwe? Hakuna maana ya kuifikisha mbali jf ikiwa kuna wajinga kama wewe msiotambua Umuhimu wa Jf
Wengi wetu tumekumbana nayo hii haliHata mimi nilisota sana humu, kama miaka miwili hivi ya mwanzoni, nilikuwa kapuku kweli kweli, naweza kuanzisha sredi ya maana isichangiwe kabisa.
Akiikopi mwenzio akaipost vile vile watu wanachangia kibao.
Kilichoniokoa nilikuwa nashinda sana jukwaa la ujasiriamali enzi hizo, hali ilikuja kugeuka polepole sana mkuu.
Ila wakongwe wa kuanzia miaka ya 2006 mpaka 2010, wengi wabaguzi sana.