shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Atakuja tu[emoji41] @edzen kimario yuko wapi?
Maana leo wana mechi na Leicester city saa 8 mchana
Atakuja tu[emoji41] @edzen kimario yuko wapi?
Maana leo wana mechi na Leicester city saa 8 mchana
HBD Ozil1988 - Mesut Ozil anazaliwa.
Ni kiungo kutoka Arsenal na timu ya taifa ya Ujerumani mwenye asili ya Uturuki.
Anasifika kwa soka la akili lisilo tumia nguvu.
Ameshinda kombe la dunia mwaka 2014.
Why Compaore akam-kill?1987 - Thomas Sankara anauwawa.
Alikuwa ni Rais wa 5 wa Burkina Faso.
Alijulikana kama Che Guevara wa Afrika kwa mrengo wake wa Kiujamaa, Kimarx na hata uvaaji wake akifananishwa na Mwanamapinduzi huyo wa Kiargentina.
Aliuwawa na rafiki yake wa karibu, Blaise Campaore.
Labda wakishinda, ila wakifungwa hataonekanaAtakuja tu
R.I.P. Deo.....Mungu atakulipia2015 - Deo Filikunjombe anafariki Dunia katika ajali ya Helikopta.
Alikuwa ni mbunge wa Jimbo la Ludewa. Alifariki siku kadhaa kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 nchini Tanzania.
Anatajwa kama Mbunge machachari katika Bunge lililopita na anakumbukwa sana kwa kuwa sehemu ya kamati ya Bunge iliyoundwa kuchunguza skandali ya Escrow kando ya Zitto Kabwe.
Merci Musso, Sabbath njemaLeo katika Historia:
Sina la ziada, kwa udhamini mnono wa Filikunjombe tukutane kesho.
Jumamosi njema.
Tamaa ya madaraka. Alishirikiana na Nchi za Magharibi ili aje awe Rais.Why Compaore akam-kill?
Aiseee...UJUMBE WA LEO...
Mwanamke na mwanaume walikuwa wakiendesha magari tofauti, yakagongana. Magari yote yakaharibika vibaya kwani ajali ilikuwa mbaya na ilisababishwa na uzembe wa mwanamke.
Pamoja na magari yao kuharibika vibaya cha kushangaza kati yao hakuna aliyeumia. Walipojivuta kutoka kwenye magari, mwanamke akasema, "Wewe ni mwanaume!...inafurahisha sana, na mimi ni mwanamke. Angalia magari yetu, hakuna kilichobakia lakini bahati nzuri hakuna aliyeumia. Lazima hii ni ishara kutoka kwa Mungu kwamba tuwe marafiki na tuishi pamoja kwa siku zote za maisha yetu zilizobakia".
Mwanaume akajibu, "Nakubaliana na wewe kabisa. Lazima hii ni ishara kutoka kwa Mungu".
Mwanamke akaendelea "...na angalia huu muujiza mwingine, gari yangu imeharibiwa vibaya, lakini chupa hii ya mvinyo (wine) haikuvunjika. Kwa kweli, mungu anataka tunywe mvinyo huu na kusheherekea tulivyo na bahati nzuri.
Mwanamke akampa Mwanaume ile chupa. Mwanaume akainamisha kichwa kutoa ishara ya kukubali. Mwanaume akaifungua na kunywa nusu ya mvinyo na kumrudishia mwanamke.
Mwanamke akachukua chupa, akafunga kizibo haraka na kumrudishia tena mwanaume.
Mwanaume akauliza "Haunywi hata kidogo?"
Mwanamke akajibu "Hapana, nadhani nitasubiri POLISI waje kuchukua ushahidi wao (KOSA LA DEREVA KUENDESHA GARI HUKU AMELEWA)."
UMEJIFUNZA NINI?
1. Adam amekula tunda tena!
2. Wanaume hawajifunzi kamwe!
3. Wanawake hawabadiliki!
Jumamosi Njema.
Mkuu vpAiseee...
kwema.Mkuu vp
Safikwema.
Ila yule Jamaa hajui kushabikia mpiraLabda wakishinda, ila wakifungwa hataonekana
Vp, habari za Milembehawayuni??
huku poa,vichaa wanaendelea kuongezeka sijui wewe kwann ulikimbiaVp, habari za Milembe
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Na kweli yule bado hajakomaa kwenye ushabiki.Ila yule Jamaa hajui kushabikia mpira
[emoji86] shikamoo babaMiaka 32
Poa Shululu, adje Pande hizo?Mambo mukongo
Ila wanawake wakitumiwa kutuangusha wengi tunaanguka labda uchezwe na machale!!!Delila vs Samson