Makapuku Forum

Makapuku Forum

Screenshot_2016-10-15-14-14-41.png
IMG_20161015_141605.jpeg

PL Fixture
.........
 
Maisha bhana HUWA NAYO HAYAPENDAGI UJINGA KABISA...!!!
Mshahara ukiingia tu wiki ya kwanza unakula kuku ila wiki ya pili unaanza kula product za kuku (mayai) wiki ya tatu ya mshahara unaanza kula vyakula vya kuku (mahindi)...kimbembe huwa ni wiki ya nne maana unakuwa kuku kabsaa (unazurura zururura)

[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Duh falsafa ya maisha hii
 
Back
Top Bottom