Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,303
- 68,387
poa mkuu.Asante sana kwa leo katika historia Mkuu mussolin
poa mkuu.Asante sana kwa leo katika historia Mkuu mussolin
Kuna mechi moja pale Uingereza alifunga gori dhidi ya Newcastle, hakushangilia,alichofanya akawa anazunguka kuwaangalia mashabiki, pale pale aliposimamaAkakutana na Cantona mwenye dharau.
1977 - David Trezeguet anazaliwa.
Ni mshambuliaji wa zamani wa Juventus na timu ya taifa ya Ufaransa.
Anakumbukwa kwa kupiga penati ya ushindi iliyowapa Ufaransa taji la Euro 2000 dhidi ya Italy.
Miaka sita baadae katika fainali ya Kombe la Dunia, anakumbukwa kwa kukosa penati muhimu iliyiwapa Italy ubingwa huo wa Dunia.
Ilikuwa Sunderland.Kuna mechi moja pale Uingereza alifunga gori dhidi ya Newcastle, hakushangilia,alichofanya akawa anazunguka kuwaangalia mashabiki, pale pale aliposimama
Pumzika kwa amani Deo2015 - Deo Filikunjombe anafariki Dunia katika ajali ya Helikopta.
Alikuwa ni mbunge wa Jimbo la Ludewa. Alifariki siku kadhaa kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 nchini Tanzania.
Anatajwa kama Mbunge machachari katika Bunge lililopita na anakumbukwa sana kwa kuwa sehemu ya kamati ya Bunge iliyoundwa kuchunguza skandali ya Escrow kando ya Zitto Kabwe.
Hivi ilikuwa Sunderland, siku aliniacha hoi sana huyu JamaaIlikuwa Sunderland.
Ndiyo maana Ginora na Cantona zilikuwa haziivi kabisa, sababu wote walikuwa watu wa dharauAkakutana na Cantona mwenye dharau.
Yah, alizunguka kama hajafunga goli hivi.Hivi ilikuwa Sunderland, siku aliniacha hoi sana huyu Jamaa
1979 - Paul Robinson anazaliwa.
Ni golikipa wa zamani wa England.
Anakumbukwa zaidi wakati wake akiwa na Vilabu vya Leeds United, Tottenham na Blackburn Rovers.
Waingereza hawawezi kumsahau, mara baada ya kurudishiwa mpira na Gary Neville badala ya kupiga mpira uende mbele yeye akaukosa na mpira kujaa wavuni. Hii ilikuwa ni moja ya sababu ya England kushindwa kufuzu fainali za Euro 2008.
1981 - Keyshia Cole anazaliwa.
Ni mtunzi na mwanamuziki toka nchini Marekani.
Hao jamaa waliwasumbua sana wenzaoNdiyo maana Ginora na Cantona zilikuwa haziivi kabisa, sababu wote walikuwa watu wa dharau
1988 - Mesut Ozil anazaliwa.
Ni kiungo kutoka Arsenal na timu ya taifa ya Ujerumani mwenye asili ya Uturuki.
Anasifika kwa soka la akili lisilo tumia nguvu.
Ameshinda kombe la dunia mwaka 2014.
Apumzike kwa amani Deo2015 - Deo Filikunjombe anafariki Dunia katika ajali ya Helikopta.
Alikuwa ni mbunge wa Jimbo la Ludewa. Alifariki siku kadhaa kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 nchini Tanzania.
Anatajwa kama Mbunge machachari katika Bunge lililopita na anakumbukwa sana kwa kuwa sehemu ya kamati ya Bunge iliyoundwa kuchunguza skandali ya Escrow kando ya Zitto Kabwe.
1987 - Thomas Sankara anauwawa.
Alikuwa ni Rais wa 5 wa Burkina Faso.
Alijulikana kama Che Guevara wa Afrika kwa mrengo wake wa Kiujamaa, Kimarx na hata uvaaji wake akifananishwa na Mwanamapinduzi huyo wa Kiargentina.
Aliuwawa na rafiki yake wa karibu, Blaise Campaore.
Sijui kituHilo ni jeraha au ni tattoo hapo kwenye paji la uso?
2015 - Deo Filikunjombe anafariki Dunia katika ajali ya Helikopta.
Alikuwa ni mbunge wa Jimbo la Ludewa. Alifariki siku kadhaa kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 nchini Tanzania.
Anatajwa kama Mbunge machachari katika Bunge lililopita na anakumbukwa sana kwa kuwa sehemu ya kamati ya Bunge iliyoundwa kuchunguza skandali ya Escrow kando ya Zitto Kabwe.
Umezaliwa 1992?
Ni kama Patrice Lumumba