Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
Welbeck mcheza disko hata ArsayNO wamechukua garasa halafu wakatuona wajingaNyakati zimekwenda wapi? Nyakati ngumu hazipiti ila watu wagumu wanapita. Eti tulikuwa na Welbeck kama Straika.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Van Nistelrooy na Rooney walikuwa moto zen akaja Chicharito akatisha kidogo lakini Van Ugali hakumthamini sasa hivi anatesa Bundesliga
.......