shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Tukiacha unazi, welbeck ni mchezaji mzuri, Sema majeruhi tu yanamuandama[emoji23] haya ubora wake uko wapi sasa?
Tukiacha unazi, welbeck ni mchezaji mzuri, Sema majeruhi tu yanamuandama[emoji23] haya ubora wake uko wapi sasa?
Leo yamekuwa hayo tenaSawa..
Kwanza goli lenyewe lilikuwa ofusaidi
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Swali:Tukiacha unazi, welbeck ni mchezaji mzuri, Sema majeruhi tu yanamuandama
Umekuwa kama kocha wako, anaenda kucheza Liverpool anasema hana historia nzuri na Liverpool wanapokuwa nyumbani, ndio wewe SasaSawa..
Kwanza goli lenyewe lilikuwa ofusaidi
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mfungwa kumualika Raisi hii imekaaje?
[emoji23] Tumewauzia garasaLeo yamekuwa hayo tena
Delila vs SamsonUJUMBE WA LEO...
Mwanamke na mwanaume walikuwa wakiendesha magari tofauti, yakagongana. Magari yote yakaharibika vibaya kwani ajali ilikuwa mbaya na ilisababishwa na uzembe wa mwanamke.
Pamoja na magari yao kuharibika vibaya cha kushangaza kati yao hakuna aliyeumia. Walipojivuta kutoka kwenye magari, mwanamke akasema, "Wewe ni mwanaume!...inafurahisha sana, na mimi ni mwanamke. Angalia magari yetu, hakuna kilichobakia lakini bahati nzuri hakuna aliyeumia. Lazima hii ni ishara kutoka kwa Mungu kwamba tuwe marafiki na tuishi pamoja kwa siku zote za maisha yetu zilizobakia".
Mwanaume akajibu, "Nakubaliana na wewe kabisa. Lazima hii ni ishara kutoka kwa Mungu".
Mwanamke akaendelea "...na angalia huu muujiza mwingine, gari yangu imeharibiwa vibaya, lakini chupa hii ya mvinyo (wine) haikuvunjika. Kwa kweli, mungu anataka tunywe mvinyo huu na kusheherekea tulivyo na bahati nzuri.
Mwanamke akampa Mwanaume ile chupa. Mwanaume akainamisha kichwa kutoa ishara ya kukubali. Mwanaume akaifungua na kunywa nusu ya mvinyo na kumrudishia mwanamke.
Mwanamke akachukua chupa, akafunga kizibo haraka na kumrudishia tena mwanaume.
Mwanaume akauliza "Haunywi hata kidogo?"
Mwanamke akajibu "Hapana, nadhani nitasubiri POLISI waje kuchukua ushahidi wao (KOSA LA DEREVA KUENDESHA GARI HUKU AMELEWA)."
UMEJIFUNZA NINI?
1. Adam amekula tunda tena!
2. Wanaume hawajifunzi kamwe!
3. Wanawake hawabadiliki!
Jumamosi Njema.
[emoji85] Na j3 tunawafunga kama tulivyowapa kicha Leicester cityUmekuwa kama kocha wako, anaenda kucheza Liverpool anasema hana historia nzuri na Liverpool wanapokuwa nyumbani, ndio wewe Sasa
Alikuwa kazini mbona RVP aliwafunga nje ndani ni kwa sababu yupo kwenye majukumu yakeNajua alivyowafunga mliumia sana sana
Na wattford je [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji85] Na j3 tunawafunga kama tulivyowapa kicha Leicester city
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
sisi sio watu wa mchezomchezo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji85] Na j3 tunawafunga kama tulivyowapa kicha Leicester city
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Adam kala tena tundaUJUMBE WA LEO...
Mwanamke na mwanaume walikuwa wakiendesha magari tofauti, yakagongana. Magari yote yakaharibika vibaya kwani ajali ilikuwa mbaya na ilisababishwa na uzembe wa mwanamke.
Pamoja na magari yao kuharibika vibaya cha kushangaza kati yao hakuna aliyeumia. Walipojivuta kutoka kwenye magari, mwanamke akasema, "Wewe ni mwanaume!...inafurahisha sana, na mimi ni mwanamke. Angalia magari yetu, hakuna kilichobakia lakini bahati nzuri hakuna aliyeumia. Lazima hii ni ishara kutoka kwa Mungu kwamba tuwe marafiki na tuishi pamoja kwa siku zote za maisha yetu zilizobakia".
Mwanaume akajibu, "Nakubaliana na wewe kabisa. Lazima hii ni ishara kutoka kwa Mungu".
Mwanamke akaendelea "...na angalia huu muujiza mwingine, gari yangu imeharibiwa vibaya, lakini chupa hii ya mvinyo (wine) haikuvunjika. Kwa kweli, mungu anataka tunywe mvinyo huu na kusheherekea tulivyo na bahati nzuri.
Mwanamke akampa Mwanaume ile chupa. Mwanaume akainamisha kichwa kutoa ishara ya kukubali. Mwanaume akaifungua na kunywa nusu ya mvinyo na kumrudishia mwanamke.
Mwanamke akachukua chupa, akafunga kizibo haraka na kumrudishia tena mwanaume.
Mwanaume akauliza "Haunywi hata kidogo?"
Mwanamke akajibu "Hapana, nadhani nitasubiri POLISI waje kuchukua ushahidi wao (KOSA LA DEREVA KUENDESHA GARI HUKU AMELEWA)."
UMEJIFUNZA NINI?
1. Adam amekula tunda tena!
2. Wanaume hawajifunzi kamwe!
3. Wanawake hawabadiliki!
Jumamosi Njema.
Ile mechi tulilogwaNa wattford je [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Tuko fit sasa hv hvyo ushindi ni lazimasisi sio watu wa mchezomchezo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ile mechi tulilogwa
Na hilo kalithibitisha mganga wetu wa timu Manyaunyau
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Liverpool atakuwa muhanga wa kipigoTuko fit sasa hv hvyo ushindi ni lazima
[emoji41] @edzen kimario yuko wapi?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]