Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,835
Ilikuwa very close useme "hajaharisha?" Nimecheka sana mkuu. Hili tatizo la kuchanganya vowels za Kiswahili na h- wakati mwingine ni TATIZO!!!Kumbe leo ipo holiday mkuu hajahairisha
Umeona eeeIlikuwa very close useme "hajaharisha?" Nimecheka sana mkuu. Hili tatizo la kuchanganya vowels za Kiswahili na h- wakati mwingine ni TATIZO!!!
You're hitting below the belt with this one...[emoji30][emoji30][emoji30]
Pamoja sana kubwa lao.Nafurahi kuzaliwa siku moja na
Usher Raymond
Mathew Le Tissier
Louren mzee wa Polo
Ahmed Musa japo simuamini maana waafrika kwa kufoji
Nasikitika kuwa siku mbaya kwa Mwalimu JK Nyerere na Bruno Metsu
Nawashukuru wote milioniwish na Mungu awabaeiki
Makapuku Forum imenikutanisha na watu wazuri....naomba tuendeleze umoja wetu
Tuvumiliane madhaifu yetu
NB:
Nathamini wishez zenu wote lakini kwa bahati mbaya siwezi kujibu zote kutokana na kasi ya thread
One Love
...............
.........................
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Nitamfumua hanijui huyu
Nisamehe kama nimekukwaza ni utani tu mkwepa kodiNina mke tayari
Powa mkuu yameishaNisamehe kama nimekukwaza ni utani tu mkwepa kodi
*Looku Looku* [emoji102][emoji102]wife:- Darling, how much do you love me ????
Husband:- 82%
Wife:- Huh, why it is not 100% ????
Husband :- 18% VAT is applicable on all transactions.
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Wanakupeleka home Hakika```Nilisimamishwa na polisi jana usiku wakaniuliza mbona natembea usiku nikawauliza kwani usiku watu huogelea..```
*Sipendi ujinga mimi*
```Niko kwa landrover sasa hivi i think wananipeleka home...```[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mh!!!..........[emoji124] [emoji124] [emoji443] [emoji444] [emoji445] tarararaa tatara tatararaaaWazungu wanaita, Leukemia. Sijui nimepatia spelling?
Hahahaa very cleverHitler hakuwepo eneo la tukio. Alimtumia makamanda wake.
Bwahahahahahaaaa[emoji13]Nakuona...!View attachment 417821[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Haya nenda kaoge sasaView attachment 417828
[emoji120] [emoji106]jamani humu kwema??ubize huu jamani nitakuja baadae napokea vichaa hapa mirembe
[emoji15] [emoji15] LetaJapo siyo Lushoto
Ngoja nilete niliyopiga na Dada ako
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
........
Huyo sio dadangu ni uncle, hebu geuka na shati lako, una mguu mzuri anyway[emoji23] [emoji125] [emoji125]
Sawa*Looku Looku* [emoji102][emoji102]
*Ama Kweli Mkuki Kwa Nguruwe kwa Binadamu Mchungu Skia Hii....!!*
*Ishawahi kutokea Pale nilipokutana njiani na mwalimu aliyekufundisha MATHS secondary afu akaniambia nimuelekeze njia ya kwenda sehemu fulani.*
*_Nenda mbele kama 2KM hivi kisha kata kushoto,ila hakikisha ANGLE inakuwa ni 30.5 KUSINI MASHARIKI.Kisha tumia PYTHAGORAS na hakikisha una FOUR FIGURE ili kupata thamani ya ANGLE._*
*Mwalimu alisonya na kuondoka.*[emoji57][emoji57][emoji57][emoji19][emoji19]
*Stakagi ujinga kabisa mimi, wakati ananichapa alifikiri sifa*[emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji119][emoji119] *Mniache Tuu Mimi Sio Kwa Bifu Ilo Aiseee*[emoji125]
Hepibethidei
Aiseee*Looku Looku* [emoji102][emoji102]