Makapuku Forum

Weka na picha yake maana sidhani kama yeye mwenyewe ataiweka hahahahaha
 
Namuombea umri mrefu zaidi na maisha ya kheri. [emoji120]
[emoji512] [emoji445] [emoji92]
 
Alikufa kwa ugonjwa gani mkuu
 

Nyota ya bundi inahusika
......
 
Dah!!! vitoto vingine vinaumbua sana[emoji15]

Tulikua kwenye daladala, mtoto mmoja akamuuliza mama yake, mama tunaenda wapi na hatujaoga? [emoji38][emoji38][emoji38]

Dereva imembidi asimamishe gari tucheke kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]
wife:- Darling, how much do you love me ????

Husband:- 82%

Wife:- Huh, why it is not 100% ????

Husband :- 18% VAT is applicable on all transactions.

[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
```Nilisimamishwa na polisi jana usiku wakaniuliza mbona natembea usiku nikawauliza kwani usiku watu huogelea..```

*Sipendi ujinga mimi*

```Niko kwa landrover sasa hivi i think wananipeleka home...```[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…