Mapema sanaaa....... Yani mpaka siku ikifika sisi tutakuwa tumeshalewaWow naona mambo yanaanza kujipa mapema kabisa hapa...
Teh uko makini!Kamatia hapo hapo..
Unajua umeshawekwa kwenye kamati ya harusi sasa kwa hili unalomfundisha Bi harus mtarajiwa hiyo harusi itafika kweli...Unajua huku ndani vipanga ni wengi usipopiga beat unanyang'anywa chap sijasema ila dalili si nzur mpaka sasa kati ya Nahrene na ndugu yangu youngbloodMfumo dume
Mwanamke mapozi
Magumu sana....... Mi naona tuachane nayo tu tufanye issue zingine😀😀😀😀 haya mambo mweh!
Mkuu yote ilikuwa nataka nione heri kwako na nashukuru imekuwa..Teh uko makini!
Nadhani ni Nkwarungo machame,Meru ni Nkwaranga...nimepakumbuka machameee...enzi hizo machame girls.Nkwarungo meru au moshi jirani
hawa vijana wakiona tu kuna 'she' anahang around wanataka wagawane kama parachichiAsante kwa kujali ankali
Asante ee jiraniNadhani ni Nkwarungo machame,Meru ni Nkwaranga...nimepakumbuka machameee...enzi hizo machame girls.
hawa vijana wakiona tu kuna 'she' anahang around wanataka wagawane kama parachichi
Mkuu yote ilikuwa nataka nione heri kwako na nashukuru imekuwa..
Magumu sana....... Mi naona tuachane nayo tu tufanye issue zingine
Umaingia kulee?Welcome sweetheart mtumishi.
Hapo sasa nimekuelewa..... Abiria chunga mzigo wakoUnajua umeshawekwa kwenye kamati ya harusi sasa kwa hili unalomfundisha Bi harus mtarajiwa hiyo harusi itafika kweli...Unajua huku ndani vipanga ni wengi usipopiga beat unanyang'anywa chap sijasema ila dalili si nzur mpaka sasa kati ya Nahrene na ndugu yangu youngblood
Na nimsifu hajalaza damu na couple mpya sasa imeshapatikana kati Patience123 na jambilohii penetration ya hatari sana manuu yani hapa jambilo apaishe tu mwenyewe sasa
Mafuriko hayazuiliki kwa mkono.moto wa kuotea mbali huuu.