Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,299
Ukuti wa naziWe ni mpenzi sana wa nini?
Ukuti wa naziWe ni mpenzi sana wa nini?
Hapa tutadanganywa tu maana hakuna namnaNimemuona aisee...
........anaonekana nae alikuwa mwoga/mbishi au???
Wengi tu wanaonekana wanavuta ukiacha huyo bobanKwa bangi tu anatisha sana
Na vitabu hamna na vikiwepo hatusomi[emoji134]Kizazi cha sasa hakiwajui hao Mashujaa, vipi kuhusu kizazi kijacho?
Kuna sehemu tumekosea kuhusu historia ya Nchi yetu.
Na hao ni mfano tu ,wapo wengi sana.
Shwari Kapuku mwenzetuMambo ni vipi familia??
Una kids ngapi?Sawa Kabisa bila kusahau kufyatuana
Aliyeturoga ndo keshakufa na kafa uchawi wake [emoji4] [emoji4]Sijui nani alituroga?
Powa dr.Mambo ni vipi familia??
Kachokaaaa km papai liliokaa juaniHaruna Moshi Boban...Professional player wapi Juma Nyosso?
![]()
Dada lini?[emoji23]Dodo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeBoban anavita sigara kubwa siyo bhangi acheni umbea
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.........
Sawa mkuuRekodi sauti yako kwenye simu ukiita majina ya kf then rusha jukwaani
Nisamehe.Malizia
Kwani kuna tatizo?.......Mi nimekuachia maana sioni 7bu kuleta picha wakati na mwingine analeta matokeo yake ni kupoteza muda
Ht kesho mtu akiltaka awe anamwekea picha Dikteta sina tatizo namuachia
Cha msingi mmoja ampishe mwenzie
Kamalizie usiwanyime watu haki yao siyo umechagua picha za kuleta
. ....
ni kweli mkuuKm Kapombe, Abdullahman Humoud. Tegete,Ajib n.k wamezidi ht Samatta sema hawajitambui matokeo take wanazeekea uwanja wa Taifa
.......
Jimena wewe..! Basi tu ngoja nife na utamu wangu[emoji45]Poa sweetheart habari ya weekend
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jibu mujarabu kabisaMbona unajua kukwepa kodi hili umeshindwaje!
Naskia wachezaji wa Bongo wamezoea ule uswahili na umaarufu wa hapa so wakienda nje ile kupiga stori na kuzurura wakikosa wanarudi Bongo fasta[emoji30]Km Kapombe, Abdullahman Humoud. Tegete,Ajib n.k wamezidi ht Samatta sema hawajitambui matokeo take wanazeekea uwanja wa Taifa
.......
Nafikiri utafika wakati historia tutainyoosha, baada ya kizazi cha uongo kikifaKizazi cha sasa hakiwajui hao Mashujaa, vipi kuhusu kizazi kijacho?
Kuna sehemu tumekosea kuhusu historia ya Nchi yetu.
Na hao ni mfano tu ,wapo wengi sana.