MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,114
Mkuu kama umeelewa naomba unielewesheElewa hivyo hivyo
Mkuu kama umeelewa naomba unielewesheElewa hivyo hivyo
Ni muumini wa kijiti
Kina Abdulrahman Babu, Mahfudh and co.Historia yetu imewazima na kuwasahau watu wengi sana katika Taifa hili eti tu labda walitofautiana na Waasisi wa Taifa hili kipindi hiko.
Mchango wa Oscar Kambona umesahaulika kabisa. Bila Kambona, mwalimu asingeendelea kuwa Rais wakati Jeshi lilipoasi Mwaka 1964 na Mwalimu kuamua kujificha zake Kigamboni akishindia mapapai.
Ni aibu sana kwa Taifa kuwasahau watu wa aina ya Kambona, Jumbe na wengineo.
Historia yetu imewazima na kuwasahau watu wengi sana katika Taifa hili eti tu labda walitofautiana na Waasisi wa Taifa hili kipindi hiko.
Mchango wa Oscar Kambona umesahaulika kabisa. Bila Kambona, mwalimu asingeendelea kuwa Rais wakati Jeshi lilipoasi Mwaka 1964 na Mwalimu kuamua kujificha zake Kigamboni akishindia mapapai.
Ni aibu sana kwa Taifa kuwasahau watu wa aina ya Kambona, Jumbe na wengineo.
Wewe mzee umegombana na wife leo sio bureHajielewi
Kutwa kutajataja watu
Kila mtu na mambo/ishu zako
Hakuna anayetakiwa au kulazimishwa kushinda humu KF
.......... .....
Mbona unajua kukwepa kodi hili umeshindwaje!Mkuu kama umeelewa naomba unieleweshe
Legalize marijuanaNi muumini wa kijiti
Kizazi cha sasa hakiwajui hao Mashujaa, vipi kuhusu kizazi kijacho?Kina Abdulrahman Babu, Mahfudh and co.
Dyu×2 [emoji125] [emoji125] [emoji125]...........................[emoji40][emoji40][emoji40]
Sawa Kabisa bila kusahau kufyatuanaIla maji ya mende sasa hapo huambiwi kitu
Kambona alikuwa na akili sana na msomi sana wakati huyo
Na wewe unamuunga mkono huyo mzee hahahahahaKweli
Ahsante mkuu kwa elimu.
We ni mpenzi sana wa nini?Mimi sio mpenzi sana wa hizo timu za kariakoo
Sema jamaa alikuwa na kipaji kikubwa sana cha mpira.Legalize marijuana
........
Nimeshapoa na sasa weekend iko mahala pakePole na majukumu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106]![]()
Wa nyuma kabisa
.............
Nimemuona aisee...![]()
Wa nyuma kabisa
.............