Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,299
Umeona eeeTisha sana mnyaki
Umeona eeeTisha sana mnyaki
Tuko poa brizMambo ni vipi familia??
Poa sweetheart habari ya weekendMambo ni vipi familia??
DodoKesho Dudu.
Poa, karibu brizMambo ni vipi familia??
Hili sio ushuruMbona unajua kukwepa kodi hili umeshindwaje!
Kina Abdulrahman Babu, Mahfudh and co.
Mnyaki kwenye ubora wake![]()
Wa nyuma kabisa
.............
Rekodi sauti yako kwenye simu ukiita majina ya kf then rusha jukwaaniAisee kumbe aliuawa?
Kumbe Uswis wamekuwa na marais wengi kuliko hata US?1924 - Alphons Egli anazaliwa.
Alikuwa ni Mwanasheria pia alishika madaraka ya kuwa Rais wa 77 wa Uswizi.
Mambo?Kumbe Uswis wamekuwa na marais wengi kuliko hata US?
Msome umuelewe huyo mwanazuoniView attachment 414439View attachment 414440View attachment 414441
Babu....ngoja niisome historia take maana wengine tumezaliwa wkt Mwinyi akiwa Raise
.........
Sabato njema bepariLeo katika Historia:
Sina la ziada, sabato day hivyo ni lazima tuitakase.
Muwe na weekend njema.
GuudNimeshapoa na sasa weekend iko mahala pake
Hivi kuna sehemu tumefanya vizuri?Kizazi cha sasa hakiwajui hao Mashujaa, vipi kuhusu kizazi kijacho?
Kuna sehemu tumekosea kuhusu historia ya Nchi yetu.
Na hao ni mfano tu ,wapo wengi sana.
Km Kapombe, Abdullahman Humoud. Tegete,Ajib n.k wamezidi ht Samatta sema hawajitambui matokeo take wanazeekea uwanja wa TaifaSema jamaa alikuwa na kipaji kikubwa sana cha mpira.
Hii ni dhambi, ndio maana nchi yetu haisongi, dhambi ya usaliti na uongoAhsante mkuu kwa elimu.
Historia inamsahau vipi Waziri wa kwanza kabisa wa mambo ya nje?
Kufyatuana hahahahahaWe ni mpenzi sana wa nini?
Za kuadimika?Handsome Che Guavara