Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Amen!Leo katika Historia:
Sina la ziada, sabato day hivyo ni lazima tuitakase.
Muwe na weekend njema.
Amen!Leo katika Historia:
Sina la ziada, sabato day hivyo ni lazima tuitakase.
Muwe na weekend njema.
Huyu naye mchochezi, kwani dhambi kuwa jukwaa lingine?Inabidi uwe unaita majina hapa. Mtu aitikie Jana na leo.
Boban anavita sigara kubwa siyo bhangi acheni umbeaKumbe wewe humjui vizuri, Haruna Moshi Shaban Mawela Boban?
AsanteView attachment 414394View attachment 414395
Karibuni sana katika kuperuzi magazeti yaliyotufikia asubuhi ya leo
KweliTena sio kidogo
Handsome Che Guavara
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] Sema muhogo afadhaliKesho Dudu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata babu yangu kapigana vita ya Kagera hajatajwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
..........
Mi pia niliwamiss sana wote humu. Sijaonekana toka juzi asubuhi ila ndio hivyo. Siku hazilinganiNimekumiss ujue
Mimi sio mpenzi sana wa hizo timu za kariakooKumbe wewe humjui vizuri, Haruna Moshi Shaban Mawela Boban?
Kama zakoNa ndevu zake
Uko poa lkn!Kweli mkuu
Poa sanaMzima, za huko
Na aliyeturoga alishakufaSijui nani alituroga?
Elewa hivyo hivyoHapo bado sijakuelewa vizuri
HajielewiHuyu naye mchochezi, kwani dhambi kuwa jukwaa lingine?
Watu wanasaka maarifa na mahusiano