Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Tena sio kidogoJamaa katili
Tena sio kidogoJamaa katili
hahaha...Wabongo wanapenda Ujinga. Boban wetu yeye ni mtaalam wa Bangi.Kama kawaida ya wabongo
Hapana jirani...mi ni juisi na maji ya kunywa.Nilijua labda na wewe unapata
Ngoja wataalam wajeKweli mkuu ila sijui jinsi ya kuita kwa kutumia simu
KweliView attachment 414364View attachment 414365 Wa kitambo..mhhh
Aisee kumbe aliuawa?Aisee...Mungu anawaona.
Japo sikuwepo kipindi hiko, ila kwa kumsoma na kuambiwa habari zake, nafikiri Sokoine ndio Waziri Mkuu bora kabisa kuwahi kutokea Nchi hii tangu Uhuru. Urais wa mwaka 1985 uligharimu maisha yake.
Handsome Che GuavaraView attachment 414362View attachment 414363 Best ake fidel Castro...Mwanaharakati huyu mwanamapinduzi akumbukwe Daima na waliomuua damu yake iwe juu yao.
Asante mkuu mussolin kwa leo katika historia bora kabisaLeo katika Historia:
Sina la ziada, sabato day hivyo ni lazima tuitakase.
Muwe na weekend njema.
Hila za Wahafidhina wasiopenda maendeleo ya Ulaya mashariki.Yugoslavia isinge vunjika, ingekuwa na uchumi imara sana
Ndoa za mastaa kudumu ni kzNa waka divorce aisee duh
Kesho Dudu.Jana Dida na leo Didi!
MaliziaBasi nimeacha![emoji23][emoji23], sorry sikujua kama nilizoweka ulishaziweka
Haya bana nitaguess mwenyewe unachokipenda hahahahaha...........................[emoji40][emoji40][emoji40]
Muhogo tatizoooView attachment 414369View attachment 414370 Chezea black Swagaz, wame split ndoa yao lakini Mariah yuko kama chizi nowdays maana alimpenda sana Nick
Asante sana mwenyekitiLeo katika Historia:
Sina la ziada, sabato day hivyo ni lazima tuitakase.
Muwe na weekend njema.
Amen msabatoLeo katika Historia:
Sina la ziada, sabato day hivyo ni lazima tuitakase.
Muwe na weekend njema.
Sijasema aliuwawa, ila Urais wa 1985 uligharimu Maisha yake.Aisee kumbe aliuawa?
Kumbe anavuta bangi?hahaha...Wabongo wanapenda Ujinga. Boban wetu yeye ni mtaalam wa Bangi.
Wanadamu wanavitaka na Muumba anavitakaVizuri huwa havidumu.
Na ndevu zakeHandsome Che Guavara