Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hivi ushawah ku-fall in love?
yan ile love Bae akikupgia simu ukiskia sauti
yake tu unataman uile simu na uimeze..
yan mnashinda nae mchana kutwa ikifka usiku
unakopa ili umpigie..
ile love akikubusu unajishikilia ukutan
usizimie...
ushawah kujifeel namna hiyo?
kama umeshawah kuhisi hivyo hio sio 'LOVE'
ni BANGI acha kutumia utakuwa kichaa pambavu sana wee.........

Huwa sipendi ujinga Mimi
 
IMG_20161006_181820.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom