Makapuku Forum

Makapuku Forum

1475753968427.jpeg

Ipo wapi treni ya Meakyembe?
Naona mbuzi wanafaidi nyasi relini
......
 
Hapo si ndio walikua wanajenga hostel na mkulu alisisitiza ujenzi uishe ndani ya miezi sita? Mara ya mwisho nlipaona kipindi wanachimba msingi
Sio hapo....hapo ni km unatokea Ubungo unaelekea Mlimani City ndo lipo katikati ya. Chuo na Mlimani City

Jengo unalolisema nahisi ni lile linalojengwa kwenye kiwanja kidogo cha Moira sehemu kabla hujafika getini tena bado halijakamilika
........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom