Mambo!Ndio
Unakosea, labda alfajiri akaanzia kwako!Lol,
Niliwahi kuulizwa kama nimejiumba.
Au niliumbwa weekend? Wkt Mungu hakuwa na stress.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Anashangaa hip lenye harara
Labda malipo habaShida ya wachezaji wa siku hizi wakiwa timu za taifa wanacheza kawaida sana. Sio kama wakiwa katika vilabu vyao.
Mchawi mbobeziMtaalamu wa everything
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
.....
Kwenye vikao vya wachawiAnwar Sadat aliingia madarakani mwaka 1970 mpaka alipouwawa mwaka 1981.
Hapo katikati alinusurika kupinduliwa mara mbili.
Sasa huyo anayesema jamaa kauwawa siku moja baada ya kuapishwa hizo rekodi yeye kazipata wapi?
Hiyo maktaba garama zake mpaka kukamilika ni 80bNdo lenyewe ndugu
..........
MADIKTETA WALIOUA WATU WENGI ZAIDI.
1.Mao Zedong;alikuwa kiongozi huko China.Aliuwa watu wanaokadiriwa kufikia milioni 40-60.
![]()
Nkajua mimi! basi nimedanganywaUnauliza mikofi polisi.. Nani mwingine zaid ya jimena
Halaf rekodi yangu 111111 hawaizungumzii walivyo na nongwa!!![]()
![]()
![]()
![]()


Woyoooooo!!JAMANI HAMJAMBO??
"TOP TEN FROM THE BOOK"
inawajia hivi karibu...................
Huyu anaogopwa hadi na shetaniMADIKTETA WALIOUA WATU WENGI ZAIDI.
1.Mao Zedong;alikuwa kiongozi huko China.Aliuwa watu wanaokadiriwa kufikia milioni 40-60.
![]()
Poa nambie KagameMambo!
Weka picha ya shetaniHuyu anaogopwa hadi na shetani
PoaaaaaPoa nambie Kagame