Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hebu weka picha unogeshe maelezo yako
1475744098222.jpg

Karibu
 
hahahah....Mzee wa feki kapotosha hapo.

Alikuwa Rais kitambo sana, hapo aliuwawa ktk sherehe za kusherehekea ushindi wa Misri wa kukomboa kisiwa flani hivi nimekisahau jina.
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/17932034
Mpuuzi sana huyu jamaa
Km vitu hajui bora asiandike
Unafikiri kapotosha wangapi?

Kupenda sifa samtaimu hushusha utu wa mtu
Sasa naanza kuamini kichwani yupo empty

Halafu nilikuPM
.........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom