Mimi niko poa tu nacheki jicho lako hapa[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Nipo poa kabisa. Sijui wewe.
Yaani umeniita jina ndilo kabisa. Happy
Habari za asubuhi wakuu?
Ngoja azisake mmje kuzilamba pamoja my sissy
Kwi kwi kwi.Mimi niko poa tu nacheki jicho lako hapa[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Huku poa tu...naona mnakinukisha as usual'';Poa, vipi za kwako!
Umeona eeeHuku poa tu...naona mnakinukisha as usual'';
Naona umeamka na mwangwi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwi kwi kwi.
Mungu hamnyimi yote mja wake
Asante sana kwa magazeti ya leo Ankali JJView attachment 413013View attachment 413014View attachment 413015
Mpaka hapo basi sina la ziada kutoka katika meza ya magazeti....
Naitwa Jimena Jimenes kumbuka tu magazeti haya yaliletwa kwenu kwa hisani ya wa kimataifa kukodishwa rasmi.
Byebye
Yanga Mmekodishwa..........!!View attachment 413013View attachment 413014View attachment 413015
Mpaka hapo basi sina la ziada kutoka katika meza ya magazeti....
Naitwa Jimena Jimenes kumbuka tu magazeti haya yaliletwa kwenu kwa hisani ya wa kimataifa kukodishwa rasmi.
Byebye
Nice day to you my sweet sissyView attachment 413013View attachment 413014View attachment 413015
Mpaka hapo basi sina la ziada kutoka katika meza ya magazeti....
Naitwa Jimena Jimenes kumbuka tu magazeti haya yaliletwa kwenu kwa hisani ya wa kimataifa kukodishwa rasmi.
Byebye