Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Labda wapo break...nimepita huko mwanzo wa uzi kuanzia page 1-100.kuna watu siwaoni humu,wamekimbilia wapi?@Bailly5 @Th Name n.k
Labda wapo break...nimepita huko mwanzo wa uzi kuanzia page 1-100.kuna watu siwaoni humu,wamekimbilia wapi?@Bailly5 @Th Name n.k
Jirani niajeeeMorning Shululu...
Imeishakutokea mara ngapi
Shwari kwema?Jirani niajeee
Yaani katafuta amani wakaona wamuue?!! wana roho mbaya sanaWalimuua kwa sababu aliwekeana na Israel mkataba wa kutopigana tena
Kwema kabisaShwari kwema?
Hili nalo nenoNataka nifanye mpango we ndo uje
Salama hofu kwako tuUmeamkaje lakini dia?
Asante sana mwenyekiti kwa leo katika historia orijinoLeo katika Historia Orijino:
Kwa udhamini mnono wa Jimena Jimenes JJ, tukutane kesho.
iam super humbled in
z voiceHivi ni kuzuri?Haka ka-nchi kamejificha sana afu kako mbali balaa, kama ndo una safari ya kutoka fiji kwenda asia tu unakula masaa ya kutosha na kama ndo route ya moja kwa moja ulaya au marekani usiombe kabisa.. Kama una afya mgogoro unaweza ukafia njiani
Huko sio kwa kwenda basiTena ni kisiwa hivyo full boti na mitumbwi
Km hujui kuogelea lala tu
![]()
![]()
![]()
![]()
.......
Morning pachaMorning Family...!
PleasureHaya asante Hermana...
Briz aliendaje huko, tuanzie hapo kwanzaHuko sio kwa kwenda basi
Kamepajana na nichi moja hivi inaitwa TongaHivi ni kuzuri?
Hata mi nausubiria kwa hamu huu ufafanuziMzee wa feki kaandika alipigwa risasi siku 1 baada ya kuapishwa
Sasa huo mkataba alisaini lini?
Naomba ufafanuzi hapo
![]()
![]()
![]()
![]()
..........
Kamepajana na nichi moja hivi inaitwa Tonga
Nayo pia ni ndogo hvyo hvyo kama Fiji
Nakwambia niliingia asubuhi kutoka kwa joto ....niliduwaaQuigley Arusha itakuwa baridi sana 17degrees? kama mko mamtoni vile.
Tonga and TuvaluKamepajana na nichi moja hivi inaitwa Tonga
Nayo pia ni ndogo hvyo hvyo kama Fiji
KutafutaBriz aliendaje huko, tuanzie hapo kwanza