Makapuku Forum

Makapuku Forum

Itakuwa poa
Mfano mm leo nipo hoi
Kuwawekea picha watu wawili mfululizo tena wenye post kumikumi sio kitu kidogo

Ukileta jioni pia itaongeza mvuto na kuwapa muda watu kuchangia mada sababu mara nyingi jioni hakuna vipindi
Nashukuru kwa kunielewa
............
swadakta,mi mwenyewe hadi saivi sijanywa chai,mara niingie Wikipedia,mara huku mara kule.
 
Owkey, Naskia alikuwa kichwa sana kabla ya kutimka Bongo!!!
Ni kweli mkuu, jamaa alikuwa ni mwanazuoni aliyebobea sana, aliwahi kuwekwa Kizuizini kwa tuhuma za kushiriki mauaji ya Karume.

images


mar-31-2012-tanzania-mr-ahmed-mohamed-abdul-ahman-babu-e142f5.jpg


images

Hapa akiwa na malcom x
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom