Kasema 'anakaribisha mtu kupost'Anafosi wakati hajui kitu, sifa zinamponza.
Haaaahaaaa, kazi kweli kweliKasema 'anakaribisha mtu kupost'
It means yy peke yake hawezi/hajui alichoanzisha
Kila akipost anajiumauma
![]()
![]()
![]()
![]()
.....
Morning wangu! I hope asubuhi bado haijapindukaMorning all
Karibuni tuyaangalie magazeti ya leo kwa hisani ya Mke wa waziri na Atcl
View attachment 412320View attachment 412321View attachment 412322
4.Ralph H. Baer(The Father of Video Games);mgunduzi wa "VIDEO GAME CONSOLE" 1966.
![]()
Wa-push bhana!!! Muwe munaulizaghaaaMuwe mnauliza aise watani zangu kina................

Mambo ya Play Station4.Ralph H. Baer(The Father of Video Games);mgunduzi wa "VIDEO GAME CONSOLE" 1966.
![]()
Kupatwa kwa MloziKasema 'anakaribisha mtu kupost'
It means yy peke yake hawezi/hajui alichoanzisha
Kila akipost anajiumauma
![]()
![]()
![]()
.....
Duh hii sijui wanaiadhimishaje?Leo ni siku ya Kimataifa ya Kupinga ukahaba.
Leo Katika Historia Orijino:
Kwa udhamini mnono wa Members wote wa Makapuku Forum, tukutane kesho.



asante kwa historia orijino5.Robert Bunsen;Mkemia kutoka Ujerumani,Mgunduzi wa "Bunsen Burner".
![]()
duh mimi mweyewe kwenye kudefine nilikuwa sikosi
Haha sasa kwani makahaba ni mbadala??Wazee leo puli marufuku
6.Rudolf Diesel;ni "Mechanical Engineer" kutoka Ujerumani ,mgunduzi wa "Diesel Engine".
![]()
Huyo wa katikati hafai kwa hiyo biashara asee.. Ni mvutoless


7.Douglas Engelbalt;injinia kutoka USA,mgunduzi wa "COMPUTER MOUSE".
![]()