shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Wazee leo puli marufukuLeo ni siku ya Kimataifa ya Kupinga ukahaba.
Wazee leo puli marufukuLeo ni siku ya Kimataifa ya Kupinga ukahaba.
Asante mkuu mussolin kwa leo katika historia murua kabisaLeo Katika Historia Orijino:
Kwa udhamini mnono wa Members wote wa Makapuku Forum, tukutane kesho.
Sie tuna filamu zetu za Misukosuko
1984 - Kenwyne Jones anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Sunderland, Stoke City, Cardiff City na timu ya taifa ya Trinidad and Tobago.
Ndio maana Mmarekani akateketeza Hiroshima na Nagasaki.Wajapani nao Enzi zao walikuwa hawataki mchezo
Pole sanaHuku bongo ikishakudaka unarudishwa nyumbani ukajiuguze mpk kifo kitakapokuchukua.
Nmeshuhudia sana ndugu zangu wakifa na ugonjwa huu na hamna niliyemshuhudia kaugua huu ugonjwa na akasalimika.
Na kingine pia mgonjwa wa kisukari akishakatwa mguu hachukui muda mrefu lazma afe tu. HILI PIA NMELISHUHUDIA
Jamaa hawachuji. Ila naipenda sana 007 Casino Royale007 ilibamba sana
Uko sahihi kabisaHapo nimekuelewa
Ugonjwa una hatua zake
Umeongea point ni km saratani mtu yupo hatua ya mwisho ht ufanye nini ana kufa
Lakini km ni hatua ya mwanzo kupona unaweza ila suala la Song inaonekana kaathirika sana kwenye uongo ndio maana akawa comma
...........
1987 - Kevin Mirallas anazaliwa.
Mchezaji wa Everton na timu ya taifa ya Ubelgiji.
Wanajua sana ndugu zake Bitoz1962 - Kundi la The Beatles laachia kibao chake cha kwanza kijulikanacho kama Love Me Do.
Huyu Razak alikopi jina.Razaki Yusuf Careca, bongo buana
Kikubwa uzima pesa ni makaratasiHiyo kwa Bongo haigusiki
R I P2010 - Mary Leona Gage anafariki Dunia.
Alikuwa ni Miss USA mwaka 1957.
2010 - Mary Leona Gage anafariki Dunia.
Alikuwa ni Miss USA mwaka 1957.
Wana suppress tu bora wangekaushaLeo ni siku ya Kimataifa ya Kupinga ukahaba.
Mwalimu Makame (RIP) alikuwa mkali kuliko pilipiliLeo ni siku ya Kimataifa ya Walimu Duniani.
KAtika kuadhimisha taja jina la mwalimu wako ambaye hutamsahau kamwe
Asante sana mwenyekiti kwa Leo katika historia ORIGINALLeo Katika Historia Orijino:
Kwa udhamini mnono wa Members wote wa Makapuku Forum, tukutane kesho.
Hawatakagi ujingaNdio maana Mmarekani akateketeza Hiroshima na Nagasaki.