Makapuku Forum

Makapuku Forum

1962 - Kundi la The Beatles laachia kibao chake cha kwanza kijulikanacho kama Love Me Do.
IMG_20161005_102035.jpeg
IMG_20161005_102025.jpeg

the BITOZ
Love me do
..........
 
Bongo pia wameanza kufanya, ila tatizo wagonjwa wenyewe wanapelekwa wakishashindikana huko ambako wenyewe wanadhani ndio bora, hivyo inatumia muda mrefu.
Kwenye Hypnotherapy wanachofanya ni kuamsha zile gland ambazo zina shida na kulazimisha bio electric ifanye kazi ipasavyo mwilini, bio electric ikishamudu kurudi katika ubora wake na ndio hapo utaona mgonjwa anapona
Ni process ila 90% inafanikiwa.
Pia nadhani wengine wanashindwa sababu gharama zake ziko juu
Hiyo kwa Bongo haigusiki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom