Duh....!![]()
Jeshi la kupiga faini
Alipe tu
![]()
![]()
![]()
.......
Pole sana.Jamani nimepata msiba, nimefiwa na baba yangu mkubwa jana, tunazika leo Tanga. Nipo safarini kuwahi mazishi.
Ukapukuni mwisho wa matatizoBabu umekuja ukapukuni
![]()
![]()
![]()
........
Katavi mtu poa sanaUkapukuni mwisho wa matatizo
Kama Dada yangu Nyani Ngabu muosha nguo za vikongwe ughaibuniKatavi mtu poa sana
Sema kuna baadhi ya Wakongwe magumashi(wanajisikia sana)
................
Mkuu hapa hatuwataji wakongwe wenye magumashi majina yao bali tunatumiaga mafumbo mfano ungesema "Ngedere"Kama Dada yangu Nyani Ngabu muosha nguo za vikongwe ughaibuni

Vepe!hodi
Umeona eeeUkapukuni mwisho wa matatizo
Hanaga shobo kataviKatavi mtu poa sana
Sema kuna baadhi ya Wakongwe magumashi(wanajisikia sana)
................
Anakuaga dadako eeeKama Dada yangu Nyani Ngabu muosha nguo za vikongwe ughaibuni
Umemisika kweliNawasalimu wote nimewamiss sana Jukwaa linazidi kubamba![]()
![]()
![]()