TumekusameheYeah sikuwa nimeona kama Musso ameanza
Mnisamehe tu jamani
Amen.Poleni sana mussolin, Mungu awatangulie
Amen.POLE SANA
Safari njema
Pia tunakushukuru kwa kutimiza wajibu wako japo umefiwa
Mola amrehemu
............................
LushotoPole sana! Mbele yake nyuma tunamfatia... tanga sehemu gani?
Amen.Pole kwa msiba ndugu Musso, safari njema
Amen.Pole sana Mussolin5, Mungu akutie nguvu
Duh unanikumbusha mbaliLushoto
Pole mkubwa safari njemaJamani nimepata msiba, nimefiwa na baba yangu mkubwa jana, tunazika leo Tanga. Nipo safarini kuwahi mazishi.
Hana ujanja ni mikwara tu"Leo zamani"
Taratibu
Asije akakuroga akugeuze sisimizi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]![]()
Jeshi la kupiga faini
Alipe tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
Nawe piaMchana mwema
Mungu anakuonaHana ujanja ni mikwara tu
Nawe piaMchana mwema
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mungu anakuona
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
...........
Nimekuthamehe[emoji4]Yeah sikuwa nimeona kama Musso ameanza
Mnisamehe tu jamani