Mh!!![emoji15]Umesikia?
PowaVepe!
Katavi mtu poa sana
Sema kuna baadhi ya Wakongwe magumashi(wanajisikia sana)
................
Jonax unaitwa huku
[emoji23]
Jonax unaitwa huku
Jonax Puli Mazoea (JPM)
Huyu demu atakuwa amesha zeeka
Veepe?Woooo
Hatari lakini salama
Tuheshimiane werra
Mzee kitabu veepe!habari zenu wakuu??kitambo sanaaaa
Safi, karibu ndugu KITABUhabari zenu wakuu??kitambo sanaaaa