Nchi za wenzetu mechi wangeangalia LIVEKwa mfumo wa taarifa sisi tupo nyuma sana aisee
Kwanin?Zidane atafukuzwa muda si mrefu
Sina imani na tifutifu hata kidogoNchi za wenzetu mechi wangeangalia LIVE
Tupo Taifa la giza
Hata TFF hawana akaunti walau Instagram kuweka live update
Akili zao zipo viingilio vya mechi tu
.......
Leo katoa drooKwanin?
Duh
Naona maisha yake ni mafupi zaid ya kimo cha tausi mdegela..Zidane atafukuzwa muda si mrefu
Afadhali jembe umerudi783 more posts... Nianze kusoma yote si macho yatapufuka..
Hali zenu ndugu zanguni
Mambo magumu..Ushindi wa usiku du
Na wapigwe tu, guardiola aijue eplMan city wamelala kwa goli mbili bila
Nilienda kuzisaka hela, nimepata hela nyingi mpka pakutumia tunakosa, tumeongeza bidii ya kutafuta warithi wa mihela yetu shemejiShemeji anakaba sana tatizo
Mie ninachojua ronaldo ndio mchezaji aliyetupia dk zote za mchezoni hajaacha hata moja, labda dakika ya 0 wakat mpira haujaanza.ETI NI KWELI??
Wanasema Ronaldo hajawahi kufunga goli dakika ya 7 ambayo ni namba yake japokuwa amefunga dakika zote zilizobaki hadi za nyongeza!!..jamani kweli???
mi mwenyewe nilijua hivyo,ila za kunyapianyapia zinasema hivyoMie ninachojua ronaldo ndio mchezaji aliyetupia dk zote za mchezoni hajaacha hata moja, labda dakika ya 0 wakat mpira haujaanza.