babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,314
Penati hapa
Tottenham wamekosa penatiPenati inaenda wap
Wangese sana aiseeTottenham wamekosa penati
Acha wapigwe tu aiseeKwa mara ya kwanza tangu ligi ianze man city anapokonywa pointi kama matokeo yatabaki hivihivi
Kila amepanguaTottenham wamekosa penati
Mkuu naona huwapendi man cityAcha wapigwe tu aisee
Sio siwapendi tu, yaani siwataki kabisaaaaaMkuu naona huwapendi man city
Hahahahaha
Huu ndio mpira
Washaniharibia jioni hiiMan city wamelala kwa goli mbili bila
Noma sanaHuu ndio mpira