Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Shemeji anakaba sana tatizoJirani sijui yupo wapi, tangu amerudi makaveli haonekani sana humu
Shemeji anakaba sana tatizoJirani sijui yupo wapi, tangu amerudi makaveli haonekani sana humu
Kuna movie flan ya kinaijeria niliicheki kitambo kidogo.Ndio yani yananichekesha sana, yakitamkwa mi full kutabasamu

Mimi huwa nafurahi wanavyotamka Abuja na Lagos, na kushangaa sasaKuna movie flan ya kinaijeria niliicheki kitambo kidogo.
Jamaa anajitambulisha anasema "my name is BEREATUS LUCAS OBONO"
Yani nikilikumbuka hili jina nacheka sanaa
![]()
![]()
![]()
![]()
mitamboni wanasemaje kuhusu Cr 7???Manchester United Vs stoke city
aanzishe tu chama chakeAMEKALISHWA
![]()
mambo yanaendeleaje hukoManchester United Vs stoke city
mitamboni wanasemaje kuhusu Cr 7???[/QUOTE
wa man u?
anaogopa hakunaga ushemejiShemeji anakaba sana tatizo
Tupomakapuku mmepotelea wapi
naona kama pamepoa mzeeTupo
Pako kawaida tunaona kama pamepoa mzee
Hata sijawahi kumsikia.1919 - Rais Woodrow Wilson wa Marekani anapararaizi mwili wake baadae ya kupata stroke.
Walifariki siku moya asee2015 - Rodolfo Frigeri anafariki.
Alikuwa ni waziri wa Fedha huko Argentina.
2015 - Eric Arturo Delvalle anafariki Dunia.
Alikuwa ni Rais wa Panama.
Morning
How are you

Leo katika Hist0ria:
Zimebaki siku 90 tu, kabla ya mwaka huu kunalizika.
Kwa udhamini mnono wa Kichuya, na Mohamed Ibrahim tukutane Kesho.
Jumapili njema.

Weka picha wewe