Embu ngoja tusubiri tuone AsayNo kama na yeye atasalimika leo

Wapo form...Embu ngoja tusubiri tuone AsayNo kama na yeye atasalimika leo
![]()
![]()
![]()
Kwahiyo Jogoo kakimbiza hadi kakamata kisha akafanya yake anayoyajua?
Hizi timu wakati mwingine huwa zinasumbua sanaWapo form...
Lakini tusubiri
..........
Tusubiri na washiriki bora wamalize mtanange
Subiri ifike Dec/Jan nguvu za soda na wa ukweli watajulikanaKwahiyo Jogoo kakimbiza hadi kakamata kisha akafanya yake anayoyajua?
Ndio hivyo lakini ArsayNO mpo form kipindi hikiHizi timu wakati mwingine huwa zinasumbua sana
Spurs wako vizuri sana, ukweli ni kuusema tuSubiri ifike Dec/Jan nguvu za soda na wa ukweli watajulikana
Mimi macho yangu yanawaona Spurs msimu huu wameimarika hasa KIUNGO
![]()
![]()
![]()
...........
Stand wapo kwenye form