Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
1991 - Roberto Firmino anazaliwa.
Ni mwanasoka anayekipiga klabu ya Liverpool na timu ya taifa ya Brazil.
anajua
.......
1991 - Roberto Firmino anazaliwa.
Ni mwanasoka anayekipiga klabu ya Liverpool na timu ya taifa ya Brazil.
Asante sana mkuu mussolinLeo katika Hist0ria:
Zimebaki siku 90 tu, kabla ya mwaka huu kunalizika.
Kwa udhamini mnono wa Kichuya, na Mohamed Ibrahim tukutane Kesho.
Jumapili njema.
Fact [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Kweli muosha huoshwa,
Japo dhambi haifutwi kwa dhambi, mwaka 2002 mei 31, Madaraka Seleman anawafunga Yanga bao kama la tambwe leo, na mwamuzi Omary Abdulkadri anasema weka kati,
Rais wa zaman wa Yanga yaani Tarimba Abasi Tarimba, aliamuru timu itoke uwanjani, lkn hawakutoka, simba walishangilia wakati Yanga wanalia,
Leo zamu yao wao wanang'oa viti wakati Yanga walishangilia, najua wengi mtakuwa mmesahau!
Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kwa hisani ya digitalVipi kuhusu hii[emoji116] View attachment 410695na hii[emoji116] View attachment 410696hamuoni kwamba mlikuwa mnabebwa[emoji116] View attachment 410698[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Halafu majina yao mengine ni matusi kwetu.Napenda sana majina ya Kijapani
Keitalo Sato
1997 - Hana Sugisaki anazaliwa.
Ni muigizaji toka nchini Japan.
Pamoja sana papaa,Leo katika Hist0ria:
Zimebaki siku 90 tu, kabla ya mwaka huu kunalizika.
Kwa udhamini mnono wa Kichuya, na Mohamed Ibrahim tukutane Kesho.
Jumapili njema.
Ok, tufunge mjadala sasa tujadili mambo mengineHalafu majina yao mengine ni matusi kwetu.
KichuraLeo katika Hist0ria:
Zimebaki siku 90 tu, kabla ya mwaka huu kunalizika.
Kwa udhamini mnono wa Kichuya, na Mohamed Ibrahim tukutane Kesho.
Jumapili njema.
[emoji39] nmemtamani
Kapigie picha puli[emoji39] nmemtamani
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji2] wapo wese + sabuni?Kapigie picha puli
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
........
Mfano tafadhali wa jina mojawapoHalafu majina yao mengine ni matusi kwetu.
Yupo Hollywood kwa sasa au ni huko huko kwao Japan?
Ni kweli kabisaHalafu majina yao mengine ni matusi kwetu.
TakumaMfano tafadhali wa jina mojawapo
Aulizwe maana historia/Dikteta/BepariYupo Hollywood kwa sasa au ni huko huko kwao Japan?
[emoji53] duuh! Embu ngoja niingie mitamboni, nkatafute ukwel.ETI NI KWELI??
Wanasema Ronaldo hajawahi kufunga goli dakika ya 7 ambayo ni namba yake japokuwa amefunga dakika zote zilizobaki hadi za nyongeza!!..jamani kweli???
[emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56]Aulizwe maana historia/Dikteta/Bepari
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.......